Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

Hapo sasa,yanavyokomaa weka picha weka picha utafikiri tutakuwa wote kwenye ban, akuuuuu. Wajitafutie wenyewe mwenzangu
Nikilipata mimi hili naliweka hapa mchana kweupeeeee , fungua PM yako mkuu
 
Unataka nipigwe ban?heee we vipi, kwani hujaiona?nenda sehemu husika utaiona mbona zimesambaa tele,ningekuwa na idhini ya kuweka hapa ningeiweka tu ila hili ni jukwaa la michezo tu
Weka link tu inatosha. Sio lazima picha.
 
Binafsi nimeona ile video imenisikitisha sana. Nahisi furaha yao ilikuwa baada ya matokeo ya mechi ngumu dhidi ya Azam. Na inaonekana walikuwa wamelewa wote.
 
Kwenye ile video hakuna viashiria vyovyote kwamba wanashangilia fei toto kurudi kambini.
 
Kwenye hiyo video hakuna uthibitisho kwamba wanashangilia ujio wa feitoto ila wamevaa jezi za yanga na wako uchi wananyonyana k utafikiri wanaigiza movie ya pilau.
Kwanini wahusika wamevaa jezi ya Yanga na siyo jezi za timu zingine?
Unamkumbuka mama J?
 
Kwenye ile video hakuna viashiria vyovyote kwamba wanashangilia fei toto kurudi kambini.
Utajua hujui,iwe walikuwa wanashangilia ushindi wa azam,iwe wanashangilia nini ila walichofanya sio......

Utopolo PITA HUKU [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Kwahiyo mleta mada amegoma kabisa kuweka picha au vdo clip?
Hii thd ifutwe mara moja coz imekosa vivid evidence.
 
Watakuwa Ni mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…