Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa hiyo na wewe siku ukiamua kuwakusanya wenzako wawili watatu, mkavaa jezi za simba na kujirekidi mkicheza uchi; nitakuwa sahihi kuja na mada ya kuwahusisha mashabiki wa simba na huo upuuzi?Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.
Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?
Tujirekebishe
Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hivi hata idadi tu ya mashabiki wa Yanga unaifahamu kweli?