Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

Wenye biashara hiyo wamerudi madarakani na kinara wao anaongozs kwa rimoti.
 
Akili yako aiseee, wewe utakuwa kwenye 80+
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

Unganisha doti...
Sisi tuliamua kukubali kuhamishwa kwenda huku maeneo husika ya Tanga nadhani tumetoa fursa Kwa upande ike ingine..
 
Huu ndio ujinga wa kufuata mkumbo.Mzushi anachukua picha Wikipedia na kudai ni KIA kwenye kichwa cha habari.Picha yenyewe ya ndege iliyowekwa ipo Czech Republic.
Bado manyumbu wakakurupuka na kuunga mkono huu uzushi.
Mbona maelezo ya kia wanasema ilikuwepo 22/12/2022
 
Mmeanza kutetea ujinga ko kwa akili yako unazani taifa ndio linaenda kupata faida?? Pia unaamini hii ni nibiashara kama biashara zingine?

Watanzania sijui usomi wetu Uko wapi,Kuna mtu aliwapeleka chato tuu, weeee zilisikika kerere za kila aina afu Leo wanategemea kuvushwa ktk mipaka ya nchi anatokea mtu anasema wako wengi, ety ni sawa tuu .. dah safari yetu kama taifa ndefu sana.

Nlitegemea kusikia impact ya royal tour kuwa watalii watashuka kwenye hilo dege ,afu usikie ety wamekuja kubeba? Rip Magufuli
 
Hiyo ni ya abiria na imetua dar.

Inayozungumziwa ni ya mizigo na imetua kia karibu na mbuga za wanyama.

Kutokana na hapo awali kuwepo kwa kutukio kama hilo watu wana haki kuuliza baada ya kuona viashiria kama vya awali.
Ndege ya abiria isiyo na madirisha.
 
We kalale tunaojua kupiga kerere acha tupige tuu ,ko ndio kusema hata mleta mada alipaswa kukaa kimya?? Leo tungejadili??
 
Haya ndiyo Yale matokeo ya kuhamisha wananchi Kwa nguvu pale Loliondo..... Wenye eneo Lao wamekuja kubeba twiga wao... Na wanyama wengineo.....

Mungu atunusuru...[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…