SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Labda pia inawapandisha Wamasai waliobaki huko. Manake nao walikuwa wana- hatarisha na kuleta athari kwa wanyama mbugani kwa miaka 200 na ushee.Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Waje Babati.... Viboko wamezidi, kuna muda Wizara ya Maliasili walisema watawavuna...
Viboko wanahatarisha maisha ya watu Babati.. watu wanashindwa kuchota maji kwenye mito...
Wavuvi wanahofu na kazi zao...
Viboko wamezidi waje wachukue hata 80 .... Wamezaliana sana
Hao wanyama ni urithi na identity ya nchi, huwezi kuwatapanya tu waende nchi yoyote ile.......unafanya usaliti hadi kwenye urithi unaobeba nembo ya taifa, twiga wa Tanzania anapelekwa uarabuni, hii ni aibu na ni uhujumu.
Camarada katika assets zako ulizonazo, baadaye ukaamua kuli_sale all of assets.Wauzwe tu hao wanyama (Kama ni kweli) , kwani Kuna tatizo gani ?
Masuala ya utalii, kuifanya ikaonekana kwamba imekuja mbugani kuchukua wanyama ni kuhamisha goli tena anayefanya hivyo ni kwa sababu ya chuki za kipuuzi dhidi ya wanasiasa waliotuhumiwa kwamba wanasafirisha wanyama hai kupeleka huko nje.Wewe unadhani lile dude ni sawa na Zacharia trans.
Una uhakika ni apeche alolo, punguza akili za kitanzania za kudharau usiowafahamu.Uyo pascal anapigania tumbo sunajua kuingia uzeeni kwa mtu maarfu afu apeche alolo
KIA kuna utalii ni eneo la watalii kutua na kuondoka. Tupunguze huu unyonge kwamba tunaibiwa. Hatujaanza jana wala juzi kuibiwa na wakati mwingine wanaotuibia ni wasomi waliosomeshwa bure kwa kodi yetu.Hiyo ni ya abiria na imetua dar.
Inayozungumziwa ni ya mizigo na imetua kia karibu na mbuga za wanyama.
Kutokana na hapo awali kuwepo kwa kutukio kama hilo watu wana haki kuuliza baada ya kuona viashiria kama vya awali.
Yaani we jamaa unawaza China wapewe ruksa kuua na kuchakata hao wanyama wapeleke kwao?Mkuu nakubaliana na wewe
Lakini je kama tukitaka kufanya biashara ya kuuza kama nyama je soko litakosekana hata China
Maana China hawali mawe tu ila kila kinachotembea wanakula. Ni fursa tusioiona labda mpaka wachina wapewe tender hii ya kuchakata na kupeleka kama nyama kwao na kwingine
Fikiria kuwe na abbatoir kwa ajili ya wanyama waliozidi na waharibifu badala ya baadhi ya watu kufaidika
Juzi ijumaa, na drive tokea dodoma karibu na mbuga ya Manyala nilipishana na lori kubwa sana limebeba Twiga kadhaa kueleke Arusha nikahisi wanaenda ktk zile hifadhi za mjini kule mnapopiga nao picha.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
Binadamu tumezidi pia...Kwa nini usiseme nyie binadamu mmezidi?!
Niliposoma tu taarifa kwa mara ya kwanza, wasi wasi wangu ulikuwa kwenye uhalisia wa picha.Kwahiyo hiyo ndege hapo ilipo ni KIA?au umetafuta story sehemu na picha ukachukua sehemu nyingine,maana hiyo picha iko kwenye wikipedia ikiwa na taarifa za shughuli za hiyo kampuni ...View attachment 2459027
Kwahiyo kama unawanyama wengi nawao ukiwapa wakiwa na Zoo zao nani atakuja kufanya utalii kwenye mbuga zako?kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Waacheni wanyama nao wataliiJuzi ijumaa, na drive tokea dodoma karibu na mbuga ya Manyala nilipishana na lori kubwa sana limebeba Twiga kadhaa kueleke Arusha nikahisi wanaenda ktk zile hifadhi za mjini kule mnapopiga nao picha.