SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Labda pia inawapandisha Wamasai waliobaki huko. Manake nao walikuwa wana- hatarisha na kuleta athari kwa wanyama mbugani kwa miaka 200 na ushee.Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Inawezekana hata zingine zikatua Dar watu wahamishwe kwa kuleta athari kwa wanyonyaji na "Investors" uchwara.