Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Labda pia inawapandisha Wamasai waliobaki huko. Manake nao walikuwa wana- hatarisha na kuleta athari kwa wanyama mbugani kwa miaka 200 na ushee.

Inawezekana hata zingine zikatua Dar watu wahamishwe kwa kuleta athari kwa wanyonyaji na "Investors" uchwara.
 
Kwa nini usiseme nyie binadamu mmezidi?!
Waje Babati.... Viboko wamezidi, kuna muda Wizara ya Maliasili walisema watawavuna...
Viboko wanahatarisha maisha ya watu Babati.. watu wanashindwa kuchota maji kwenye mito...

Wavuvi wanahofu na kazi zao...
Viboko wamezidi waje wachukue hata 80 .... Wamezaliana sana
 
Uyo pascal anapigania tumbo sunajua kuingia uzeeni kwa mtu maarfu afu apeche alolo
Hao wanyama ni urithi na identity ya nchi, huwezi kuwatapanya tu waende nchi yoyote ile.......unafanya usaliti hadi kwenye urithi unaobeba nembo ya taifa, twiga wa Tanzania anapelekwa uarabuni, hii ni aibu na ni uhujumu.
 
Wauzwe tu hao wanyama (Kama ni kweli) , kwani Kuna tatizo gani ?
Camarada katika assets zako ulizonazo, baadaye ukaamua kuli_sale all of assets.

Mwisho utagundua umemaliza kuuza kila kitu, utatafuta everywhere kilichobaki na mwishowe utaanza kujifikilia your self "mimi wa kazi gani"

Then you'll know what is next!.
 
Wewe unadhani lile dude ni sawa na Zacharia trans.
Masuala ya utalii, kuifanya ikaonekana kwamba imekuja mbugani kuchukua wanyama ni kuhamisha goli tena anayefanya hivyo ni kwa sababu ya chuki za kipuuzi dhidi ya wanasiasa waliotuhumiwa kwamba wanasafirisha wanyama hai kupeleka huko nje.

Ni roho mbaya ya kundi la watu wa hayati JPM hawakutegemea kuona mradi wa Kufua umeme rufiji ukianza kuelekea mwishoni hivyo wanahamisha goli kufurahisha nafsi zao, hawa ni watu wanaoishi kinyonge kwa kuchagua wao wenyewe na hakuna wa kuwasaidia.
 
Utaelewa tu.
4A63BC86-0192-4E44-BA91-088C322626D7.jpeg
BE4299ED-2515-430C-B906-896866B4E8D4.jpeg
 
Hiyo ni ya abiria na imetua dar.

Inayozungumziwa ni ya mizigo na imetua kia karibu na mbuga za wanyama.

Kutokana na hapo awali kuwepo kwa kutukio kama hilo watu wana haki kuuliza baada ya kuona viashiria kama vya awali.
KIA kuna utalii ni eneo la watalii kutua na kuondoka. Tupunguze huu unyonge kwamba tunaibiwa. Hatujaanza jana wala juzi kuibiwa na wakati mwingine wanaotuibia ni wasomi waliosomeshwa bure kwa kodi yetu.

Tupunguze hizi akili za kimaskini na za kichoyo, mzungu akitaka kukuibia ni wakati wowote anafanya hivyo.
 
Mkuu nakubaliana na wewe
Lakini je kama tukitaka kufanya biashara ya kuuza kama nyama je soko litakosekana hata China

Maana China hawali mawe tu ila kila kinachotembea wanakula. Ni fursa tusioiona labda mpaka wachina wapewe tender hii ya kuchakata na kupeleka kama nyama kwao na kwingine

Fikiria kuwe na abbatoir kwa ajili ya wanyama waliozidi na waharibifu badala ya baadhi ya watu kufaidika
Yaani we jamaa unawaza China wapewe ruksa kuua na kuchakata hao wanyama wapeleke kwao?

Aisee hamna wazo la kipuuzi km hilo. Unawajua hao machondogo walivyo, hakuna kiumbe watabakisha huko porini na hata binadamu watachakata vilevile wakimaliza wanyama.
 
Sio lazim ibebe unavovisema.hio ina kaz kama meli ville unavoona.wengi.ne wana hela wanahitaj mizigo yao ifike kwa harka.hio kaz yake ni express delivery ndio mana ukaona kusafirisha kitu kwa ndege ni gaharama mno.kuliko kwa meli
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

img-20221226-wa0012-jpg.2458542
Juzi ijumaa, na drive tokea dodoma karibu na mbuga ya Manyala nilipishana na lori kubwa sana limebeba Twiga kadhaa kueleke Arusha nikahisi wanaenda ktk zile hifadhi za mjini kule mnapopiga nao picha.
 
Kwa nini usiseme nyie binadamu mmezidi?!
Binadamu tumezidi pia...
Kuna mahitaji yanaongezeka.. Kama matumizi ya maji... Viboko kama wangekuwa na ustaarabu, unaenda mtoni kuchota maji na kurudi salama hapo kusingekuwa na tatizo..

Tatizo kiboko anakupasua anakuacha hapo hapo
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Kwahiyo kama unawanyama wengi nawao ukiwapa wakiwa na Zoo zao nani atakuja kufanya utalii kwenye mbuga zako?
 
Back
Top Bottom