- Thread starter
- #341
Ushajibiwa lilileta mabegi ya wataliiHebu mlio huko tupeni idadi ya twiga na tembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajibiwa lilileta mabegi ya wataliiHebu mlio huko tupeni idadi ya twiga na tembo.
#msigwa jitafakari kiongozi jidege lote hilo lilileta mabegi tu ya watalii.😁😁😁Ushajibiwa lilileta mabegi ya watalii
😂🙆🏻♀️Mwaka Jana Tena. Kwani mwaka huu umeisha. Vita imeanza 24.02.2022
Kuna mdau kasema! Lilikuwa services kwahiyo wanalifanyia testing mafundishamba la bibi magu alilifanya listawi vizuri sasa wamekuja kulivunaaa kama kawaaa...!! yani ndege kubwa kama ile ije kuleta mizigo ya wataliii fwakeni kabisaa sijui wanatuonaje hawaa wahuniii...yani upigaji umerudi nje njeee.
Sina hakika kama tuna sheria ya uhujumu uchumi na ile ya utaifishaji.Tujadili nini sasa, mbuzi kwy gunia?
Tujadili wanyama hai?, Tanzanite?, mauwa?, wafanyakazi wa ndani?, makinikia?
Mlinzi wa.mipaka ya nchi ni nani? TRA au SUMA JKT?
Kama wanakamata ndege zetu na sisi pia tungejifidia na hiyo.
Ingekuwa enzi zile za (...) na (...) Antonov ingeozea KIA kama meli za uvuvi.Wenye biashara hiyo wamerudi madarakani na kinara wao anaongozs kwa rimoti.
Limekuja limebeba kutuletea vibinti vya kizungu tuvinyandue na kuvipigiga miti kwa kupokezana mbugani hukoRasilimali kwa ajili ya feature ya watoto wenu ba wajukuu zinaporwa wewe uko busyna utani? Ficheni ujinga wako
Hao Flamingo ni wa Lake Manyara daah kazi tunayo aisee..Dubai Safari Park..
SIKU za karibuni kumezuka mjadala mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikilionyesha dege kubwa linalodaiwa kuwa limepaki uwanja wa ndege wa KIA...
SIKU za karibuni kumezuka mjadala mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikilionyesha dege kubwa linalodaiwa kuwa limepaki uwanja wa ndege wa KIA.
Dege hilo kwa mujibu wa wachambuzi wa mitandaoni wanadai kuwa huenda liko pale kwa lengo la kupakia wanyama kwenda uarabuni.
Msemaji Mkuu wa Serikali kuna umuhimu wa kujitokeza hadharani kuelezea suala hili ili kuondoa sintofahamu iliyopo kuhusu Dege hilo.
Hapo sasa.
Ni zaidi ya hivyo.