- Thread starter
- #361
HahahIngekuwa enzi zile za (...) na (...) Antonov ingeozea KIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahIngekuwa enzi zile za (...) na (...) Antonov ingeozea KIA.
Amesikika tomboy mmoja, akijaribu kuwateka kifikra wajinga!"Waarabu ndugu zetu "alisikika ushungi mmoja akiwa analamba asali.
Swali la kipuuzi sana hilikwani wanyama ni wako?
😂😂😂😂kwani wanyama ni wako?
Yaani mimi ndio nimeshangaa kweli, yaani hawajasema mteja gami, mzigo gani.Ufafanuzi wa mamlaka ndio umeniacha hoi zaidi nakuhisi kweli kunakitu
Picha limeanzaYaani mimi ndio nimeshangaa kweli, yaani hawajasema mteja gami, mzigo gani.
Hayo ni majenereta ya kukodi ya kufua umeme wa dharura.
Mara ya mwisho liliwahi kuleta majenereta ya kukodi
Imeleta mizigo mbali mbali ya KitaliiUfafanuzi wa mamlaka ndio umeniacha hoi zaidi nakuhisi kweli kunakitu
Ikiwemo jenereta za kufua umeme wa dharura? 😂😂Imeleta mizigo mbali mbali ya Kitalii
Ndo imeisha hivoUfafanuzi wa mamlaka ndio umeniacha hoi zaidi nakuhisi kweli kunakitu
InawezekanaTaarifa yabhao Kadco haijasema walikuja kushusha nini. Mara ya mwisho dege kama hilo lilileta mitambo ya kufaua umeme wa dharura, basi hata sasa watakuwa wameleta Dowans mpya!
Kwa Russians ni kawaida sana hio antonov kuwa hired private, kama charter flight, this is so commoy among Russian tycoons, this can be seen so often in northern Africa beach destinations like sham elishekh , relax bro those are Russians the big spendersKuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!
Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225
Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi!
Lakini kwakuwa ni la mizigo basi linauwezo wa kubeba kilo laki moja na elfu hamsini na sita (156,000kg)
Gharama ya kuendesha ndege hii inazidi mara kumi na tano (~18) ya gharama za kuendesha ndege ile kubwa kabisa ya Air Tanzania ambayo inakwenda China!
Swali na wasiwasi wangu je hiyo ndege kubwa namna ile inawezaje kuja kutua KIA kwa kubeba vi nguo vya watalii?
Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!
Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!
Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!
Ukiunganisha na dot za mwamba aliyekuwa anasherekea bezidei mbugani juzikati mashaka yanazidi.
----
UFAFANUZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UWANJA WA KIA