Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Nakumbuka aliyeanzisha hii mada aliandika "bye" tu.. alipoeleza kwa kichwa..

JF ipo juu sana ina nguvu.. naona na maelezo yametolewa..

JF Oyeeeeeee
 
Taarifa yabhao Kadco haijasema walikuja kushusha nini. Mara ya mwisho dege kama hilo lilileta mitambo ya kufaua umeme wa dharura, basi hata sasa watakuwa wameleta Dowans mpya!
 
Ufafanuzi wa mamlaka ndio umeniacha hoi zaidi nakuhisi kweli kunakitu
Yaani mimi ndio nimeshangaa kweli, yaani hawajasema mteja gami, mzigo gani.

Hayo ni majenereta ya kukodi ya kufua umeme wa dharura.

Mara ya mwisho liliwahi kuleta majenereta ya kukodi
 
Yaani mimi ndio nimeshangaa kweli, yaani hawajasema mteja gami, mzigo gani.

Hayo ni majenereta ya kukodi ya kufua umeme wa dharura.

Mara ya mwisho liliwahi kuleta majenereta ya kukodi
Picha limeanza
 
Taarifa yabhao Kadco haijasema walikuja kushusha nini. Mara ya mwisho dege kama hilo lilileta mitambo ya kufaua umeme wa dharura, basi hata sasa watakuwa wameleta Dowans mpya!
Inawezekana
 
Kwa Russians ni kawaida sana hio antonov kuwa hired private, kama charter flight, this is so commoy among Russian tycoons, this can be seen so often in northern Africa beach destinations like sham elishekh , relax bro those are Russians the big spenders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…