Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.

View attachment 2461110

Mama yenu kaenda Dubai picha yake kuwekwa Buj Khalifa mama akaamua agawe Ngorongoro. Hivi imagine akitongozwa huko na lijamaa si anatuuza mchana mchana, au akisifiwa tu ana jicho zuri atagawa wanyama pori wote.

Mtakula jeuri yenu, mtavuna matokeo ya ulimbukeni wa "haki sawa" mama yenu hata kusimamia rasilimali hawezi utamsikia "hilo nalo kalitizameni" wajanja wanapiga hela ya uma kama hawana akili timamu.
Je Esther alikuwa nani kwenye Biblia? Halafu unachosema si kweli kwa kuwa siyo watanzania wote Imani zao zinaongozwa na Biblia.

Pili dunia imewahi kupata viongozi wanawake ambao utwala wao ulikuwa bora kama Malikia Cleopatra- Misri, PM Indira Gandhi -India, PM Margaret Thatcher- UK, Chancellor Angela Merkel -Germany, President Johnson-Liberia.

Isitoshe huyu unayemdharau amaituliza Tanzania kuliko yule shetani wa Chato ambaye alijaa uwongo, alikuwa anaua wapinzani na alikuwa mwizi (Kumbuka kashfa ya Tz 2.4 Trillion).
 
Ushatoa tuhuma zako ili kueneza chuki Kisha nabii wa chuki umekaa pembeni kuangalia ulichopanda kinaendaje,hao wanyama wataonekana wakiwa wanapandishwa,ulete picha Kama ulivyoleta leo
Lazima tupiganie Rasilimali za nchi. Uhayawani hatutaukubari.

Tutakuletea na picha, mda ni mwalim mzuri.
 
You have a president from Zanzibar what do you expect. Remember what mwinyi did
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Ujinga tuu
 
Mimi nashauri tugawane tu rasilimali za taifa kila mtu achunge zake.

Maana zikibakia hivi hivi kuna watu watazimaliza zote na sisi tunaopenda kuendelea kubakia nazo tukawa hatujatendewa haki.

Kila mtu apewe chake kama akiuza ijulikane kuwa kauza mali yake.
 
Akili hizi za mtoa mada na wachangiaji walio wengi ndio zimejaa huko serikalini zinaharibu biashara na kufanya ufanyaji biashara kuwa mgumu. Zimejikita kwenye kufanya maamuzi kwa kuhisia, roho mbaya, choyo, chuki na uongo uongo tu. Ni ngumu sana kuthibitisha unachokisema zaidi ya hisia potofu au chuki tu.
 
Ninachokiona hapa ni kwamba, watanzania wengi hawana imani na viongozi wao. Na kwa upande mwingine hata viongozi nao hawana imani na Wananchi wanaowaongoza. Hii ni hatari!

Ni hatari kwasababu, wanaoongozwa hawana imani na uzalendo wa wanaoongoza. Sasa tunatokaje hapa?
 
Hapa ni kutokana na minong'ono ndani ya nchi na wananchi wenyewe. Wabunge nao wapigwa butwaa.

Hapa Niko na mtu wangu wa Karibu, toka huko serikali kuu ndani kabisa ananambia ni connect dots. Katika safari ya Rais Samia huko Uarabuni walikubaliana kwamba, Tanzania inaweza kusafirisha wanyama hai kwenda huko.

Na mwezi huu limeonekana dege kubwa likijia wanyama hai pale KIA (picha hapo chini)

Haijulikani kama hao wanyama wameuzwa ama wametolewa sadaka.
Safari hizo zimewahusisha watoto pendwa na wazoefu wa biashara hii tangu enzi za JK na Kinana.. Makamba Jr, Nape wameingia mikataba na kukubari misaada ya Uarabuni kwenye umeme na habari.

Picha kiasi hizi hapa. View attachment 2461092View attachment 2461094View attachment 2461096
Well ila najuwa Asie lala hatoacha mambo yapite while yupo macho. Ndugu watanzania hapatokuwa na vita wala kutoana meno ila Mungu atafanya yalio sahihi kwa watanzania ktk wakati sahihi. Mungu ibariki Tz naviongozi wake. Amen
 
Spika ndugai alisha sema.

Wazee makin wanaona mbali sanaaaa.
 
Watanzania wanafiki sana.

Huko mbugani hamuendi afu mnalilia wanyama kuchukuliwa, ngoja wachukuliwe tu.
We naye ukipata gepu piga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Safari ijayo ataenda israel hili awafurahishe LGBTQ
Kabisa mkuu, maana ameenda Marekani mara kadhaa bado hawajaridhika. Ukiangalia hii mada, ni muendelezo wa yaleyale kwa waliolengwa kuchafuliwa walewale....yaani samia, makamba, nape na jk na hoja zao zilezile, huku zikichagizwa na udine kama kawaida yao.

Mungu mkuu ataendelea kuwalinda watu hawa maana si kwa MICHUKI HII! Kama baada ya kufariki jpm wapo wenye nguvu tu ambao hawakutaka samia aapishwe na katika hali isiyo ya kawaida wakajikuta wameshindwa basi na hizi hila zao zitayeyuka kama nailoni motoni. Asiye na mtu Ana Mungu........
 
Twiga washabebwa tayari
 
Attachments

  • 4C11647A-AD7F-41A3-A82E-632801EF172E.jpeg
    4C11647A-AD7F-41A3-A82E-632801EF172E.jpeg
    128.5 KB · Views: 4
20221228_103705.jpg
20221228_103648.jpg
20221228_103718.jpg

Lilileta tu mizigo kwa mujibu wao, ila hili dubwana inaelekea linapiga kazi sana.
 
Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.

View attachment 2461110

Mama yenu kaenda Dubai picha yake kuwekwa Buj Khalifa mama akaamua agawe Ngorongoro. Hivi imagine akitongozwa huko na lijamaa si anatuuza mchana mchana, au akisifiwa tu ana jicho zuri atagawa wanyama pori wote.

Mtakula jeuri yenu, mtavuna matokeo ya ulimbukeni wa "haki sawa" mama yenu hata kusimamia rasilimali hawezi utamsikia "hilo nalo kalitizameni" wajanja wanapiga hela ya uma kama hawana akili timamu.
Wewe usipokuwa makini utajikuta umejifungua hiyo mimba ya miezi miwili kabla mtoto hajakomaa.
 
Umeweka picha ya dege kubwa pili picha ya Rais Samia akiwa na mwwnyeji wake kwenye moja ya nchi za ghuba.

Unaongelea wanyama kupandishwa kwenye ndege kwa njia ya kuwaiba lakini hujaweka picha ya wanyama wakiwa wanapakiliwa. Na wasomaji wanapata taharuki na kulaani wizi wa wanyama wetu.

Binafsi siwezi kulaani wizi wa wanyama mpaka nione picha wakiwa wanapakiliwa kwenye ndege.
Picha pekee yake haitoshi labda wavunwa kihalali kwani hujawahi kusikia leseni za wawindaji au vitalu vya wawindaji, vibali/leseni hizo zipo ukiomba unapewa ila vibali hivyo vina masharti maalum kama vya kumiliki bunduki, kuingiza sukari nchini nk
 
Back
Top Bottom