Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Je Esther alikuwa nani kwenye Biblia? Halafu unachosema si kweli kwa kuwa siyo watanzania wote Imani zao zinaongozwa na Biblia.Ulitegemea nini baada ya kua na raisi alieumbwa kuzaa na kulea eti ndio awe kiongozi mkuu. Mungu hakuwahi kuchagua kiongozi yeyote mwanamke manabii, mitume, makuhani, wafalme, waamuzi wote wanaume. Sasa ujuaji wa kujifanya tunamzidi Mungu maarifa itatukosti pakubwa.
View attachment 2461110
Mama yenu kaenda Dubai picha yake kuwekwa Buj Khalifa mama akaamua agawe Ngorongoro. Hivi imagine akitongozwa huko na lijamaa si anatuuza mchana mchana, au akisifiwa tu ana jicho zuri atagawa wanyama pori wote.
Mtakula jeuri yenu, mtavuna matokeo ya ulimbukeni wa "haki sawa" mama yenu hata kusimamia rasilimali hawezi utamsikia "hilo nalo kalitizameni" wajanja wanapiga hela ya uma kama hawana akili timamu.
Pili dunia imewahi kupata viongozi wanawake ambao utwala wao ulikuwa bora kama Malikia Cleopatra- Misri, PM Indira Gandhi -India, PM Margaret Thatcher- UK, Chancellor Angela Merkel -Germany, President Johnson-Liberia.
Isitoshe huyu unayemdharau amaituliza Tanzania kuliko yule shetani wa Chato ambaye alijaa uwongo, alikuwa anaua wapinzani na alikuwa mwizi (Kumbuka kashfa ya Tz 2.4 Trillion).