Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Je Esther alikuwa nani kwenye Biblia? Halafu unachosema si kweli kwa kuwa siyo watanzania wote Imani zao zinaongozwa na Biblia.

Pili dunia imewahi kupata viongozi wanawake ambao utwala wao ulikuwa bora kama Malikia Cleopatra- Misri, PM Indira Gandhi -India, PM Margaret Thatcher- UK, Chancellor Angela Merkel -Germany, President Johnson-Liberia.

Isitoshe huyu unayemdharau amaituliza Tanzania kuliko yule shetani wa Chato ambaye alijaa uwongo, alikuwa anaua wapinzani na alikuwa mwizi (Kumbuka kashfa ya Tz 2.4 Trillion).
 
Ushatoa tuhuma zako ili kueneza chuki Kisha nabii wa chuki umekaa pembeni kuangalia ulichopanda kinaendaje,hao wanyama wataonekana wakiwa wanapandishwa,ulete picha Kama ulivyoleta leo
Lazima tupiganie Rasilimali za nchi. Uhayawani hatutaukubari.

Tutakuletea na picha, mda ni mwalim mzuri.
 
You have a president from Zanzibar what do you expect. Remember what mwinyi did
 
Ujinga tuu
 
Mimi nashauri tugawane tu rasilimali za taifa kila mtu achunge zake.

Maana zikibakia hivi hivi kuna watu watazimaliza zote na sisi tunaopenda kuendelea kubakia nazo tukawa hatujatendewa haki.

Kila mtu apewe chake kama akiuza ijulikane kuwa kauza mali yake.
 
Akili hizi za mtoa mada na wachangiaji walio wengi ndio zimejaa huko serikalini zinaharibu biashara na kufanya ufanyaji biashara kuwa mgumu. Zimejikita kwenye kufanya maamuzi kwa kuhisia, roho mbaya, choyo, chuki na uongo uongo tu. Ni ngumu sana kuthibitisha unachokisema zaidi ya hisia potofu au chuki tu.
 
You have a president from Zanzibar what do you expect. Remember what mwinyi did
mkapa from Tanganyika did worst things/grafty than anyone,from corporates to minerals and electricity, grafty everywhere
 
Ninachokiona hapa ni kwamba, watanzania wengi hawana imani na viongozi wao. Na kwa upande mwingine hata viongozi nao hawana imani na Wananchi wanaowaongoza. Hii ni hatari!

Ni hatari kwasababu, wanaoongozwa hawana imani na uzalendo wa wanaoongoza. Sasa tunatokaje hapa?
 
Well ila najuwa Asie lala hatoacha mambo yapite while yupo macho. Ndugu watanzania hapatokuwa na vita wala kutoana meno ila Mungu atafanya yalio sahihi kwa watanzania ktk wakati sahihi. Mungu ibariki Tz naviongozi wake. Amen
 
Spika ndugai alisha sema.

Wazee makin wanaona mbali sanaaaa.
 
Watanzania wanafiki sana.

Huko mbugani hamuendi afu mnalilia wanyama kuchukuliwa, ngoja wachukuliwe tu.
We naye ukipata gepu piga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Safari ijayo ataenda israel hili awafurahishe LGBTQ
Kabisa mkuu, maana ameenda Marekani mara kadhaa bado hawajaridhika. Ukiangalia hii mada, ni muendelezo wa yaleyale kwa waliolengwa kuchafuliwa walewale....yaani samia, makamba, nape na jk na hoja zao zilezile, huku zikichagizwa na udine kama kawaida yao.

Mungu mkuu ataendelea kuwalinda watu hawa maana si kwa MICHUKI HII! Kama baada ya kufariki jpm wapo wenye nguvu tu ambao hawakutaka samia aapishwe na katika hali isiyo ya kawaida wakajikuta wameshindwa basi na hizi hila zao zitayeyuka kama nailoni motoni. Asiye na mtu Ana Mungu........
 
Twiga washabebwa tayari
 

Attachments

  • 4C11647A-AD7F-41A3-A82E-632801EF172E.jpeg
    128.5 KB · Views: 4


Lilileta tu mizigo kwa mujibu wao, ila hili dubwana inaelekea linapiga kazi sana.
 
Wewe usipokuwa makini utajikuta umejifungua hiyo mimba ya miezi miwili kabla mtoto hajakomaa.
 
Picha pekee yake haitoshi labda wavunwa kihalali kwani hujawahi kusikia leseni za wawindaji au vitalu vya wawindaji, vibali/leseni hizo zipo ukiomba unapewa ila vibali hivyo vina masharti maalum kama vya kumiliki bunduki, kuingiza sukari nchini nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…