Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Hakuna namna
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

Wana sema wame itraki inaonesha bado ipo haija ondoka Tz.
 
Taarifa imefika.. tumejua ndege kubwa ilikuja Bongo ila suala la ilibeba au hajabeba nin hapo sasa hatujui..wenye mamlaka tuwaachie maana hakuna tunachoweza kufanya zaidi tuosomeshe watoto wetu ili kujenga nchi yetu siku za mbeleni..
 
Ilienda kutua karibu na Zoo kubwa huko uarabuni...
 
Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!
πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€”
 
Waliofika au waliopo Loliondo ndio wanaweza kujua na kutuambia.
Na mwenyekiti wa bodi ya uwanja wa ndege KADCO kazawadiwa cheo tayali kwa misheni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…