Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh nooo!Wataalam wa body language mnaichambuaje hii picha? Mi naichambua kama kibaka kaiba sim anaiuza fastafasta asubuhi ya x mass, apate Hela ya kujiachia kiwanja. Nadhani hata Baraba( mwizi aliyesulubishwa pamoja na Yesu) hakusimama hivi mbele ya pilato. Teh teh
View attachment 2461107
Hakuna namnaNinachokiona hapa ni kwamba, watanzania wengi hawana imani na viongozi wao. Na kwa upande mwingine hata viongozi nao hawana imani na Wananchi wanaowaongoza. Hii ni hatari!
Ni hatari kwasababu, wanaoongozwa hawana imani na uzalendo wa wanaoongoza. Sasa tunatokaje hapa?
Wana sema wame itraki inaonesha bado ipo haija ondoka Tz.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
![]()
watuambie walicholeta kiukweliInawezekana
Hee, kwahiyo hao wanyama watapelekwa Uarabuni??!!Mambo hayo
Hahaha, jamaa kasimama kama anataka kukaa
Tutawatembezea kwata walete ufupi wao hapa.Bado kuna mikataba 15 iliyosainiwa huko China.
Tutakuwa Ana wachina wakiuza hadi kuku Kariakoo.
Waliwaondoa wamasai loliondo kwa bajeti IPIwatuambie walicholeta kiukweli
Ni wale OBC wa royal family ya kiarabu ndio walitoa pesaWaliwaondoa wamasai loliondo kwa bajeti IPI
Ilienda kutua karibu na Zoo kubwa huko uarabuni...Taarifa imefika.. tumejua ndege kubwa ilikuja Bongo ila suala la ilibeba au hajabeba nin hapo sasa hatujui..wenye mamlaka tuwaachie maana hakuna tunachoweza kufanya zaidi tuosomeshe watoto wetu ili kujenga nchi yetu siku za mbeleni..
🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!
Ni wale OBC wa royal family ya kiarabu ndio walitoa pesa
SawaIlienda kutua karibu na Zoo kubwa huko uarabuni...
Kuna uwanja wa kutuwa ndege kubwa Loliondo?
Na mwenyekiti wa bodi ya uwanja wa ndege KADCO kazawadiwa cheo tayali kwa misheni nzuriWaliofika au waliopo Loliondo ndio wanaweza kujua na kutuambia.