Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Japani wako kwa majaribio ya mwisho kutengeneza Biskuti za MAVI... delivery ya kwanza itatua wapi?!!
 
Kama unaukataa urithi wako Mungu aliokupa, unashindwa kuulinda, unahonga Wazungu... hili la ushoga mbona linakutisha BABA...
hapa tunajadili wanyama, wewe unataja ushoga, unajua kimtokacho mtu ndio kile kilichoujaa moyo wake? kile kilichopo moyoni ndio huwa unakiongea, kwahiyo ushoga umejaa moyoni mwako ndio maana nimesema mwogope mungu ni dhambi hiyo, jaribu kufikiri yaliyo mema acha kufikiri machafu tu muda wote.

Vijana wa siku hizi mtakuja kudaiwa na muumba wapi mlipeleka marinda. wajinga kabisa. muda wote mnauwaza tu huo, ondoa upunga wako hapa.
 
Wakukuchue pamoja na wanyama utoke hapa JF huna maana...
 
Hv hayo madude hayafai kula kama kitoweo, wawapelekee wabarbaigi wayale kuliko kuuza nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…