Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
tumekuja kula christmass...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
sasa inabeba nini, tuambieni basi, msipotuambia kile tutakachokiwaza kitakuwa sahihi, ama la si mtengue kauli kwa kutoa ufafanuzi?Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Una uhakika gani haibebi?Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Second round.. Kule kwenye manywaji tunasemaga mwanaume hapigwi ngumi mojaMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
Duh Business as usualMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
huenda ametumia experience ya yaliyopitaUnauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaionaWaarabu sijui huwa na agenda gani nasikia walianzishaga mbuga huko uarabuni ili watalii wasifike huku, shughuli zote ziishie bara Arab,
SIFIKIRI KAMA TAIFA LETU MAKINI LINAWEZA KUFANYA UJINGA HUO.
Mkuu tunaathirika vibaya mnoo. Sababu ni kuwa hizo hela haziendi kununua dawa wala kuboresha elimu, bali zinaenda tumboni kwenu huku mkiwaacha wananchi wanazidi kuumia.kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Makamo Mwenyekiti wa Chama hio ndio kazi yakeMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?