Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Ina maana tbc hawakuwepo hapo kutuelezea tukio hilo la kihstoria ndani ya nchi yetu,daah tbc wangekuwepo kuonyesha live ili tujue movie ya royal tour imeanza kulipa.ila ukiona kimya inawezekana kweli tuulize faru John kama yuko salama huko mbugani
 
Ndo ushangae
 
Nadhani unazungumzia Ant 124,Ant 225 ziliundwa 2,moja haikuwa kuruka kabisa,hiyo moja imehakibiwa hivi karibuni na Wa Russia katika vita yao huko na Waluklein.
 
Back
Top Bottom