Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wamewageuzia kwenye kitufe bwawani ili dege lifanye yakeKuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewageuzia kwenye kitufe bwawani ili dege lifanye yakeKuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!
Mkwere is back in female faceTembo na Twiga hawakubaki salama kwenye hilo lidege mkuu.
Antonov 225,zilitengezwa mbili tu, moja ilikamilika, nyingine bado , iliishia nusu, ukraine hawajawahi kuimalizia,
Iliyokuwa inapiga kazi, ilikua ni moja, nayo warusi waliilipua siku wanavamia ukraine mwaka jana, pale uwanja wa ndege wa Antonov, kiev
Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!
Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!
Makam Mwenyekiti wa chama biashara yake inaendelea vizuri katika awamu hiiMaskini twiga wetu.
...watasema mbona siku ile kuna mdada alikodi Bus lote peke yake wakapanda na mtoto wake mdogo kutoka Moro hadi Dar kupitia Bagamoyo hukusema.!
Humo itakuwa kama safina ya nuhu,twiga,tembo,swala watakuwa hawako salama
...ilikuwa ni ubunifu mzuri wa kufurahia maisha.!Niliipenda sana hii walahi!
We dance before the tune, mbona tutaipata.Mkwere is back in a female face
Kuipata fresh au vipiWe dance before the tune, mbona tutaipata.
Wakutoe loliondo wakupeleke wapi au lushoto kwa wasambaaWataanza na mali asili mwisho watatubeba sisi.
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?