Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Waarabu sijui huwa na agenda gani nasikia walianzishaga mbuga huko uarabuni ili watalii wasifike huku, shughuli zote ziishie bara Arab,
SIFIKIRI KAMA TAIFA LETU MAKINI LINAWEZA KUFANYA UJINGA HUO.
Wametengeneza safari park hapo Dubai inafanya a copy na Serengeti hadi udongo na vegetation Serengeti kabisa, tafuta Google utaiona
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Mkuu tunaathirika vibaya mnoo. Sababu ni kuwa hizo hela haziendi kununua dawa wala kuboresha elimu, bali zinaenda tumboni kwenu huku mkiwaacha wananchi wanazidi kuumia.
 
Back
Top Bottom