Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japani wako kwa majaribio ya mwisho kutengeneza Biskuti za MAVI... delivery ya kwanza itatua wapi?!!Waje Babati.... Viboko wamezidi, kuna muda Wizara ya Maliasili walisema watawavuna...
Viboko wanahatarisha maisha ya watu Babati.. watu wanashindwa kuchota maji kwenye mito...
Wavuvi wanahofu na kazi zao...
Viboko wamezidi waje wachukue hata 80 .... Wamezaliana sana
hapa tunajadili wanyama, wewe unataja ushoga, unajua kimtokacho mtu ndio kile kilichoujaa moyo wake? kile kilichopo moyoni ndio huwa unakiongea, kwahiyo ushoga umejaa moyoni mwako ndio maana nimesema mwogope mungu ni dhambi hiyo, jaribu kufikiri yaliyo mema acha kufikiri machafu tu muda wote.Kama unaukataa urithi wako Mungu aliokupa, unashindwa kuulinda, unahonga Wazungu... hili la ushoga mbona linakutisha BABA...
hapa tunajadili wanyama, wewe unataja ushoga, unajua kimtokacho mtu ndio kile kilichoujaa moyo wake? kile kilichopo moyoni ndio huwa unakiongea, kwahiyo ushoga umejaa moyoni mwako ndio maana nimesema mwogope mungu ni dhambi hiyo, jaribu kufikiri yaliyo mema acha kufikiri machafu tu muda wote. vijana wa siku hizi mtakuja kudaiwa na muumba wapi mlipeleka marinda. wajinga kabisa. muda wote mnauwaza tu huo, ondoa upunga wako hapa.
Wakukuchue pamoja na wanyama utoke hapa JF huna maana...hapa tunajadili wanyama, wewe unataja ushoga, unajua kimtokacho mtu ndio kile kilichoujaa moyo wake? kile kilichopo moyoni ndio huwa unakiongea, kwahiyo ushoga umejaa moyoni mwako ndio maana nimesema mwogope mungu ni dhambi hiyo, jaribu kufikiri yaliyo mema acha kufikiri machafu tu muda wote. vijana wa siku hizi mtakuja kudaiwa na muumba wapi mlipeleka marinda. wajinga kabisa. muda wote mnauwaza tu huo, ondoa upunga wako hapa.
Hv hayo madude hayafai kula kama kitoweo, wawapelekee wabarbaigi wayale kuliko kuuza nje!Waje Babati.... Viboko wamezidi, kuna muda Wizara ya Maliasili walisema watawavuna...
Viboko wanahatarisha maisha ya watu Babati.. watu wanashindwa kuchota maji kwenye mito...
Wavuvi wanahofu na kazi zao...
Viboko wamezidi waje wachukue hata 80 .... Wamezaliana sana
Yanafaa lakini hawa wajinga huku JF siwanataka wachukuliwe nje wote....Hv
Hv hayo madude hayafai kula kama kitoweo.
Wabunge wapo wanagongea meza mambo kama hayaMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
Kaka Msigwa asante kwa ufafanuzi maana kuna vizibo humu JF wanatabiria wanyama wetu.. sasa natoka kaka mie...
Mama anaupiga mwingi🤣Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Atutajie vifaa hivyo ambavyo ni vingi na vizito mno vilivyosababisha kuletwa na jidege hilo. 😁😁😁
Si muwale!Waje Babati.... Viboko wamezidi, kuna muda Wizara ya Maliasili walisema watawavuna...
Viboko wanahatarisha maisha ya watu Babati.. watu wanashindwa kuchota maji kwenye mito...
Wavuvi wanahofu na kazi zao...
Viboko wamezidi waje wachukue hata 80 .... Wamezaliana sana
Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Naamini wakati dude Hilo linatua na kupaa, mgao wa umeme ulihusika.
YugoslaviaJapani wako kwa majaribio ya mwisho kutengeneza Biskuti za MAVI... delivery ya kwanza itatua wapi?!!
Mbavu zangu...Yugoslavia
All national Park & game reserve ni Mali ya foreign investment ndio maana yule jamaa mtetezi wa tembo walimpiga risasi kule masaki ili waanze kuwazoa wanavyotaka wao maana alikua km anawawekea kigingiMakamo Mwenyekiti wa Chama hio ndio kazi yake
watu walishauri yaanzishwe mabucha ya wanyama poriHv hayo madude hayafai kula kama kitoweo, wawapelekee wabarbaigi wayale kuliko kuuza nje!
tunasubiri mabucha ya wanyama pori yafunguliweSi muwale!