Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Humo Twiga anaingia?
wanasema linameza zaidi ya tani 150
20221226_140200.jpg
 
Kwenye swala la utunzaji wa Raslimali za taifa hapa ndo Nyerere anajipatia sifa zake. Kwa sababu hakuna wa kuvaa viatu vyake.

Imagine. Alikataa kuchimba madini kwa kua aliamini hana wasomi wa kutosha kumuongoza kusaini mikataba, akaogopa angesainishwa mikataba mibovu.

Imagine carne hii ya 20. Unauzaje raslimali muhimu kama hizi. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi unao zungumziwa.

Kwa kweli ni wakati wa kubadili katiba na kuwe na kipengele cha kumshtaki raisi mahakamani endapo ataonekana kafanya ndivyo sivyo.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Hiyo katiba wao ndiyo washika mpini unazani watageuzia kwao? Hilo sahau itakuja ya hovyo hovyo bora hata iliopo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?

View attachment 2458542
Humu kulivyo na mapoyoyo hata huu ushuzi watauchangia. Hii nchi kuna mapumbavu mengi sana. Anatokea mpuuzi kuleta uzushi km anaharisha wanatoka mapumbavu yanamwunga mkono. JF imevamiwa.
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
lumumba mnabadili gia angani
 
Hii inafanana na C-5 galaxy ya wamarekani, wenye uwezo wa kuwa nayo ni wamarekani wenyewe, uingereza, na washirika wao wa ghuba ya uarabuni....

Mmarekani na uingereza wanakutumia kwa matumizi ya kijeshi... hii itakuwa imetoka uarabuni wamekuja kuchukua vyao baada ya kuwatembezea bakuli.
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.

Research inchi ambazo zina sifika Kwa utalii mkubwa kama wanaweza kufanya haya unayoyasema hapa
 
Back
Top Bottom