Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaingia ukoo wote wa twiga.Humo Twiga anaingia?
Tuambie lilikuja kufanya nini!?Mzalendo halisi.. usijali mkuu DUDE limeruka dakika 5 zilizopita halijabeba ht PAKA>>>
Kindai ziwa nalo lile!?..wanyaturu mna matatizo,ziwa upana MITA 300!?Wakizidi mnauza ? Kuna maeneo nchini yana ukosefu wa Mamba singida sijawahi ona Mamba , kiboko Yuko mmoja ziwa kindai pelekeni huko Mimi pia nahitaji Mamba wawili hapa ndani kwangu
Uwe inasoma na kuelewaWenyewe wanakwambia imeleta mizigo ya watalii, yani ilibeba mabegi kuleta tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo katiba wao ndiyo washika mpini unazani watageuzia kwao? Hilo sahau itakuja ya hovyo hovyo bora hata iliopo!Kwenye swala la utunzaji wa Raslimali za taifa hapa ndo Nyerere anajipatia sifa zake. Kwa sababu hakuna wa kuvaa viatu vyake.
Imagine. Alikataa kuchimba madini kwa kua aliamini hana wasomi wa kutosha kumuongoza kusaini mikataba, akaogopa angesainishwa mikataba mibovu.
Imagine carne hii ya 20. Unauzaje raslimali muhimu kama hizi. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi unao zungumziwa.
Kwa kweli ni wakati wa kubadili katiba na kuwe na kipengele cha kumshtaki raisi mahakamani endapo ataonekana kafanya ndivyo sivyo.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Foreigners wamempiga foreigner!All national Park & game reserve ni Mali ya foreign investment ndio maana yule jamaa mtetezi wa tembo walimpiga risasi kule masaki ili waanze kuwazoa wanavyotaka wao maana alikua km anawawekea kigingi
Makamu mwenyekiti wa chama letu ndiye mtaalam wa wanyamaporiMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Humu kulivyo na mapoyoyo hata huu ushuzi watauchangia. Hii nchi kuna mapumbavu mengi sana. Anatokea mpuuzi kuleta uzushi km anaharisha wanatoka mapumbavu yanamwunga mkono. JF imevamiwa.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Hapo sio KIAMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Umesahau kuwa nchi imefunguliwa!? Wawekazaji hao wanakuja kutoka kila upande duniani. Mama anaupiga mwingi.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
lumumba mnabadili gia anganikuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Mita 300 labda Ni matracko yako unayanadi hapa,, me sio mnyaturuKindai ziwa nalo lile!?..wanyaturu mna matatizo,ziwa upana MITA 300!?