Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Uwezi elewa... achana nayo. 😜Kwani leo tarehe ngapi, ndege mbona kwa mujibu wa mpekuzi ni kwamba ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezi elewa... achana nayo. 😜Kwani leo tarehe ngapi, ndege mbona kwa mujibu wa mpekuzi ni kwamba ipo
Kuna wajinga wengi sana TZ yetu ya leo hii. Kibaya zaidi habari zinaonekana ni za kweli na wanazidi kupotosha hata wale wenye akili zao timamu.
itakuwa meno ya Tembo.Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
![]()
Hii ni post ya mtu mwenye akili timamu asiyejaa mihemkokuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Kwa pamoja semeni................(wanalipa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNdiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Yaani mtu anaanzisha uongo na anapata wafuasi wa kutosha utadhani wana uhakika vile.
Kesho itakuja nyingine kubeba watumwa. Watawala wetu wameamua kutuuza. Wakitumaliza watajiuza waoMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
![]()
Ila likianza kupaa twiga lazima afunge mkandaHilo dude twiga anaingia kama alivyosimama na bado afiki kwenye dari
Yaani mtu anaanzisha uongo na anapata wafuasi wa kutosha utadhani wana uhakika vile.
Wachukue na fisi wachache