Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

watashindwa tu. kwahiyo kwa akili yako, yule tembo au twiga, aishi uarabuni kwa wingi, namna anavyokula majani mengi kiasikile, si watakufa tu? kule wanaishi ngamia, hata wale waliowaweka kwenye zoo uarabuni wanawapa shida tu na sio wanyama wanaoishi asili kwasababu kule ni jangwa. bado mzungu atataka kuja afrika kwenye savanah climate kuona mnyama anayeishi kwa asili sio kwa kufugwa.
Achana na mwarabu, mwarabu hashindwi kitu wew, mtu anaangiza makontena 50,000 ya udongo kutoka nchi tofaut tofaut. ashindwe kuwalisha majani tembo, anaweza akayaoteshe yey mwenyew na akawalisha.
 
Ila hili nchi ni la kiboya. Huyo Mkurugenzi hakuhakiki barua yako kabla kuiachia.

Kulikuwa na haja gani ya kurudia tarehe ya kutua katika aya ya pili kama vile anaweka msisitizo kuwa ilishawahi kutua kabla ya tarehe 22???

Mchecheto wa kuficha ujangili mpaka wanachapia.

Inaelekea waarabu wanapenda sana wanyama pori maana kama sio Oman basi UAE.
 
kuna uwezekano mkubwa wamekuja kubeba wanyama kupeleka uarabuni. lakini hata hivyo, basi tu, ukweli ni kwamba tunao wanyama wengi sana hata wakibeba hawapunguzi kitu, na hata wakipeleka kwao sio kwamba watalii wataisha kuja hapa kwasababu wanyama hapa wapo kwenye asili yao, kule wanapelekwa kuwa kama zoo, na watalii wengi wanapenda kuwaona wanyama katika asili yao. kama mtz sipendi wafanya hivyo lakini hata wakifanya hatuathiriki saaana.
Mtu akitembea na mkeo kwani anaondoka nayo? Si anapita tu na kujuachia we uendelee nayo sasa kwani we unaathirika nini?
 
Happy Holidays.
Tarehe 21 mwezi huu kuna dege moja kubwa sana (pichani) lilitua pale KIA na taarifa tulizopata tukaambiwa ilikuja ikashusha mizigo baadaye ikaondoka.
View attachment 2459076

Ndege hii ni maalumu kwa kubeba mizigo mbalimbali yoyote ile, inasemekana kuwa sinmara ya kwanza kuja hapa nchini ila kutokana na taarifa zinazosemwa za uongo ndiyo imepelekea kuleta mshtuko kwa raia wengi.

Kuna kampuni pale KIA inaitwa KADCO ambayo inaonekana ndiyo ilitoa huduma za kutoa huduma zote kuhusiana na ndege hiyo, mkurugenzi wake kaandika barua kujinasua kwa lolote japo kutokana na (barua hii chini) kachemka kwa kusahau dunia ipo kiganjani.
View attachment 2459087

Aliposema "...ndege iliendelea na safari yake kwenda nchi nyingine..."

Wananchi tofauti wamefanya research na kuifuatilia hiyo ndege na kupata data sahihi kuwa, ndege ilipokuja ilipakia mizigo kama si kushusha kisha iliondoka direct to Abu Dhabi, angalia hapo [emoji1484]
View attachment 2459092View attachment 2459093

Kinachoumiza akili na kuwachefua raia ni baadhi ya watendaji kutumia lugha ulagai kwa wenye nchi (japo hawawezi kufanya lolote)

WHY Inatumika nguvu kubwa kupotosha ukweli ambao upo uwani mwa kila mtu?.

Je kama kuna upolaji wa mali za wananchi nani anaweza kutumia nafasi, nguvu nk kuokoa hilo?.

View attachment 2459096

Karibuni kwa mjadara.
Ni Mwakatobe au Mwakatombe. Wanyakyusa bhana! TRAB na TRAT.
 
Happy Holidays.
Tarehe 21 mwezi huu kuna dege moja kubwa sana (pichani) lilitua pale KIA na taarifa tulizopata tukaambiwa ilikuja ikashusha mizigo baadaye ikaondoka.
View attachment 2459076

Ndege hii ni maalumu kwa kubeba mizigo mbalimbali yoyote ile, inasemekana kuwa sinmara ya kwanza kuja hapa nchini ila kutokana na taarifa zinazosemwa za uongo ndiyo imepelekea kuleta mshtuko kwa raia wengi.

Kuna kampuni pale KIA inaitwa KADCO ambayo inaonekana ndiyo ilitoa huduma za kutoa huduma zote kuhusiana na ndege hiyo, mkurugenzi wake kaandika barua kujinasua kwa lolote japo kutokana na (barua hii chini) kachemka kwa kusahau dunia ipo kiganjani.
View attachment 2459087

Aliposema "...ndege iliendelea na safari yake kwenda nchi nyingine..."

Wananchi tofauti wamefanya research na kuifuatilia hiyo ndege na kupata data sahihi kuwa, ndege ilipokuja ilipakia mizigo kama si kushusha kisha iliondoka direct to Abu Dhabi, angalia hapo 👇🏾
View attachment 2459092View attachment 2459093

Kinachoumiza akili na kuwachefua raia ni baadhi ya watendaji kutumia lugha ulagai kwa wenye nchi (japo hawawezi kufanya lolote)

WHY Inatumika nguvu kubwa kupotosha ukweli ambao upo uwani mwa kila mtu?.

Je kama kuna upolaji wa mali za wananchi nani anaweza kutumia nafasi, nguvu nk kuokoa hilo?.

View attachment 2459096

Karibuni kwa mjadara.
Shida ni ndege kupakia? Ama hio barua
 
Back
Top Bottom