Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

Umeweka picha ya dege kubwa pili picha ya Rais Samia akiwa na mwwnyeji wake kwenye moja ya nchi za ghuba.

Unaongelea wanyama kupandishwa kwenye ndege kwa njia ya kuwaiba lakini hujaweka picha ya wanyama wakiwa wanapakiliwa. Na wasomaji wanapata taharuki na kulaani wizi wa wanyama wetu.

Binafsi siwezi kulaani wizi wa wanyama mpaka nione picha wakiwa wanapakiliwa kwenye ndege.
Hui Hui wa Bulicheka aliwahi kuwa na akili?
 
Ninachokiona hapa ni kwamba, watanzania wengi hawana imani na viongozi wao. Na kwa upande mwingine hata viongozi nao hawana imani na Wananchi wanaowaongoza. Hii ni hatari!

Ni hatari kwasababu, wanaoongozwa hawana imani na uzalendo wa wanaoongoza. Sasa tunatokaje hapa?
Wanaongoza wanadharau kwa wananchi wao
 
Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!

Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225

Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi!

Lakini kwakuwa ni la mizigo basi linauwezo wa kubeba kilo laki moja na elfu hamsini na sita (156,000kg)

Gharama ya kuendesha ndege hii inazidi mara kumi na tano (~18) ya gharama za kuendesha ndege ile kubwa kabisa ya Air Tanzania ambayo inakwenda China!

Swali na wasiwasi wangu je hiyo ndege kubwa namna ile inawezaje kuja kutua KIA kwa kubeba vi nguo vya watalii?

Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!

Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!

Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!

Ukiunganisha na dot za mwamba aliyekuwa anasherekea bezidei mbugani juzikati mashaka yanazidi.

----
UFAFANUZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UWANJA WA KIA

(....Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!
)
Mkuu, Mbona unajishughulisha na mambo ya wenzio kana kwamba ukijua liliondoka limebeba nini utanufaika au utaathirika kwa namna moja au nyengine.?
Una wasiwasi/mashaka gani? Kama unadhani liliondoka na w/pori si ukafanye sensa ya wanyama halafu ukikuta ni pungufu ndo ufanye uchunguzi wako kwamba walienda wapi.?
Mm nandani ungehoji kuhusu huu mgawo wa umeme usioeleweka au tozo zilizokithiri au ukosefu wa ajira n.k. i.e yale mambo ambayo yana direct impact kwako katika mustakabali wa maisha yako binafsi na familia yako. Vinginevyo katafute pesa upunguze ukali wa maisha- achana na hoja zisizo na Tija kwako. Samahani lakini -labda ww ni mwanasiasa na hili linaweza kuwa ni kick kwako 2025.
 
Hivi huko lilikotua dege la jeshi si ni karibu na maeneo aliyokwenda kujivinjari yule jamaa yetu " Vasco Da Gama" original? 😳
 
Umekosea jina boss rekebisha,
Antonov AN -225, iliyokua ndege kubwa kuliko zote duniani iliharibiwa na Warusi huko Ukraine View attachment 2455560View attachment 2455563Na hakuna nyinginge ilikua moja tuu.
Daaah aiseeee kumbe hili dege huyu kichaa Puttin aliliharibu? No wonder hata sasa anaharibu vituo vya kuzalisha umeme ili wananchi wafe na baridi kali, ngoja nitaongea na Mzee wa Mizimu Mshana Jr ili tumtumie jini makata huyu Puttin maana kwa sasa dunia imemshindwa... [emoji23]
 
Antonov 225,zilitengezwa mbili tu, moja ilikamilika, nyingine bado , iliishia nusu, ukraine hawajawahi kuimalizia,
Iliyokuwa inapiga kazi, ilikua ni moja, nayo warusi waliilipua siku wanavamia ukraine mwaka jana, pale uwanja wa ndege wa Antonov, kiev
Mwaka jana tena wakati vita imeanza February 2022 mkuu?
 
ungehoji kuhusu huu mgawo wa umeme usioeleweka au tozo zilizokithiri au ukosefu wa ajira n.k. i.e yale mambo ambayo yana direct impact kwako katika mustakabali wa maisha yako binafsi na familia yako. Vinginevyo katafute pesa upunguze ukali wa maisha- achana na hoja zisizo na Tija kwako. Samahani lakini -labda ww ni mwanasiasa na hili linaweza kuwa ni kick kwako 2025.
Umekula makabichi unahorojoka tu maskini!

Wanyama wakisombwa, kutakuwa na utalii nchini? Fedha zitatoka wapi? maji na umeme vitatoka wapi?

Unataka tuzungumzie umeme bila kujadili fedha zinazozalisha umeme?

Ooh, wewe ni CHIZI?
 
Yap! Inawezekana kweli mm ni chizi lakini kwa uhakika hilo unalohoji halina Tija kwako asilani. Kwa mfano unaweza kulala njaa, kukosa malipo ya Hospitali, Kodi ya pango, ada ya shule kwa kijana wako n.k. lakini unafahamu kabisa kwamba kwa kuhoji hili la ndege ilibeba nini hauta-solve hizo changamoto zinazokukabili. Ni bora kusaka ajira/kibarua ili ulipwe au uokoe fedha yako kwa kutokukatwa tozo. Umeme unapokatika-katika wajasiriamali wengi sana wanaathirika shughuli zao e.g. wachomeleaji vyuma, mashine za kukoboa na kusaga, saloons n.k.n.k. wanapata athari za moja kwa moja.
 
Hakuna umeme wa uhakika kwa sababu nchi haina fedha!

Na moja wapo ya chanzo cha fedha katika nchi ni UTALII WA WANYAMA!

We kweli CHIZI! Unataka tusihoji!

Natafutaje pesa na umeme hakuna! Mimi ni kinyozi!

BWEGE NAZI! HALUA TENDE!
 
Mkuu, Sijakukataza kuhoji. Hivi unashindwaje kutofautisha kati ya mtu binafsi na Serikali? Serikali ndio inaweza kusema mojawapo ya chanzo cha fedha ni Utalii. Lakini kwako ww binafsi (kaya yako) chanzo chako cha pesa ni e.g. Mshahara, malipo ya wateja wanaokuja saloon kwako, kulima na kuuza mazao, kuuza mifugo na mazao yake, Uvuvi, mama lishe, kibanda/duka n.k. hivyo ni vitu vyenye Direct impact kwako na Familia yako. Utalii haukugusi ww directly. Unaweza kukosa ada ya mwanao lakini ukaziona ndege zikiingia na kutoka na hakuna mtalii atakayekuhurumia na kukulipia tozo. Mwisho wa siku hutakuwa umeingiza chochote mfukoni kwako na kuipelekea Familia yako.
Lakini pia ninakubaliana na ww kwamba ili usionekane Bwege Nazi Halua Tende ni vyema uwe na tabia ya kuhoji-hoji hata vile vitu ambavyo havina hata maslahi kwako eti ili uonekane wamo.
 
Back
Top Bottom