Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kuchelewa kupo hata kwa wanaume, umazaa mtoto wa kwanza na miaka 45, si utaitwa Babu na huyo mwanaoWazazi mkae vizuri na vijana wenu , muwahusie sana juu ya swala la ndoa na mahusiano. Muwaambie ukweli kuwa mwanaume hana cha kuharakia katika Ndoa kama mwanamke. Hakunaga mwanaume anayechelewa kuanza maisha ya Ndoa ila mwanamke ndie huchelewa.
Mwambie mwanao kuwa mwanamke akicheza na kuleta masihara katika umri chini ya miaka 25 huku juu kinachofuata ni mikosi na mabalaa na Ndoa inakuwa ni swala la kubahatisha kama sio la kupambania.
Mwambie yeye kwamba mwanaume thamani yake huanza kuanzia miaka 30 hadi uzee. Mwambie miaka 29 ya kwanza ndio umri anatakiwa kujijenga na kujiimarisha kiakili zaidi na sio umri wa kulilia mapenzi na kuhangaika na wanawake kihisia.
DIDA hapendi tabu..hapendi kufakeWe utakuwa umehama Tanzania, zamaaaani
Baba lave anasemaga jamaa anamiliki nyumba 23 dsm peke ake! Kun ukweli hapo ndugu jiran😂Tunazipata kama Majirani zake[emoji1]
Labda watakuja wameyamaliza...Wapo shoga wote na juzi walikua wote mbona kwenye ishu Fulani sema tu waliokuwepo Sio wambea wambea ila wapo
Inawezekana ni zaidi ya hizo[emoji28]Baba lave anasemaga jamaa anamiliki nyumba 23 dsm peke ake! Kun ukweli hapo ndugu jiran[emoji23]
Watoto wa siku hizi shida kweli, eti mwanaume naye analowa.Me naye analowa? Nina wasiwasi sana na hii sentensi yako usijekuwa siyo rizki.
Kumbe mtonyo ndiyo Catalyst 🙌[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]muhimu awe na mtonyo tuuu ataolewa
Possible kabisaa...Inawezekana ni zaidi ya hizo[emoji28]
Japo mimi nazungumzia kule alikomjengea Mama yake...
Unaambiwa kitambo[emoji1787]
Alianza kutoa siri za Bi. Sandra kwa watu...
Very serious my dear
Sio utani ujue