Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Wazazi mkae vizuri na vijana wenu , muwahusie sana juu ya swala la ndoa na mahusiano. Muwaambie ukweli kuwa mwanaume hana cha kuharakia katika Ndoa kama mwanamke. Hakunaga mwanaume anayechelewa kuanza maisha ya Ndoa ila mwanamke ndie huchelewa.

Mwambie mwanao kuwa mwanamke akicheza na kuleta masihara katika umri chini ya miaka 25 huku juu kinachofuata ni mikosi na mabalaa na Ndoa inakuwa ni swala la kubahatisha kama sio la kupambania.

Mwambie yeye kwamba mwanaume thamani yake huanza kuanzia miaka 30 hadi uzee. Mwambie miaka 29 ya kwanza ndio umri anatakiwa kujijenga na kujiimarisha kiakili zaidi na sio umri wa kulilia mapenzi na kuhangaika na wanawake kihisia.
Kuchelewa kupo hata kwa wanaume, umazaa mtoto wa kwanza na miaka 45, si utaitwa Babu na huyo mwanao
 
Inawezekana ni zaidi ya hizo[emoji28]
Japo mimi nazungumzia kule alikomjengea Mama yake...
Possible kabisaa...
Nadhani wasanii wa bongo Kwa Hela Hakim aka Nassib Abdul[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]anaongoza
Ana vitega uchumi vingi ACHA nyumba za Kigoma hukoo
Tuwekeni tu unaafiki pembeni
 
Back
Top Bottom