Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

Lipo Kijiji Cha Mgala katika kata ya Ihanga halmashauri ya mji Njombe mkoani Njombe
Lipo umbali wa kilomita 26 Toka barabara kuu ya lami ya Njombe - Songea
Lina ukubwa wa eka 30
Bei ni tsh 28,000,000/= (milioni ishirini na nane)
Gari linafika mpaka lilipo shamba
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784330024 au WhatsApp number 0764426929

 
Lipo kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe, wilaya ya njombe na mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 100
Bei ya kila eka ni TSH laki moja na nusu (150,000/=)
Kunafaa kwa kilimo Cha matunda Aina ya parachichi,miti ya mbao na mazao mengine
Kuna mto karibu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024
 
Daaa mfriga Lupembe ndani ndani huko Aisee Hivi usafiri vipi kunafikika kweli huko maana nasikia ni kisanga Barabara hasa masika!
 
lupembe panachangamoto sana
hahaaaaha bwashee ardhi ya Lupembe ni Bomba Sana hasa Kwa kilimo Cha matunda Kama parachichi,mananasi,nk
Ila changamoto zake isipime ardhi nzuri ipo km nyingi mno Toka makazi ya raia kisanga ni miundombinu Aisee!
 
Vipi umbali kutoka chanzo cha maji? Na kutoka barabarani je?
 
litakuwa Shamba la marehemu hilo mnunuzi hakiki vizuri documents yasije kukulipukia
 
Mkuu unamharibia mtu biashara. Be humbled
hapana mkuu wangu Sina maana hiyo ni Moja kati ya maeneo ambayo hata Mimi na dream nayo siku nikipata pesa nikawekeze kwenye kilimo Cha parachichi Aisee
Ila serikali ingeruhusu tulime bangi Aisee hiyo ardhi itatoa mjani wa kiwango kikubwa Sana
Sema ndio hivyo
Ndugai na genge lake wameharamisha wakati tungelima maekari ya kufa mtu!
 
Shamba lipo kijiji Cha Mfriga
Ktk tarafa ya lupembe,wilayani njombe
Lina ukubwa wa eka 100

Kunafaa kwa kilimo cha parachichi na miti ya mbao
Bei ya kila eka moja ni TSH 200,000/=

Kuna mto karibu na barabara imefika Hadi shambani
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024

 
Shamba lipo kijiji Cha mfriga Ktk tarafa ya lupembe,wilayani njombeLina ukubwa wa eka 100Kunafaa kwa kilimo cha parachichi na miti ya mbaoBei ya kila eka moja ni TSH Shamba lipo kijiji Cha mfriga
Ktk tarafa ya lupembe,100
Kunafaa kwa kilimo cha parachichi na miti ya mbao
Bei ya kila eka moja ni TSH 200,000/=
Kuna mto karibu na barabarawilayani njombe
Lina ukubwa wa eka imefika Hadi shambani
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024/=Kuna mto karibu na barabara imefika Hadi shambaniKwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…