Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAhsante kwa taarifa...
Shamba Lina miti mia sita (600) miti ni mirefu tofauti na unavyoona ktk pichaShamba lina.miti mingapi??
Halafu miti ya miaka5 mbona kama mifupi??
Kwann unauza?
hahaaaaha bwashee ardhi ya Lupembe ni Bomba Sana hasa Kwa kilimo Cha matunda Kama parachichi,mananasi,nklupembe panachangamoto sana
Mkuu unamharibia mtu biashara. Be humbledDaaa mfriga Lupembe ndani ndani huko Aisee Hivi usafiri vipi kunafikika kweli huko maana nasikia ni kisanga Barabara hasa masika!
hapana mkuu wangu Sina maana hiyo ni Moja kati ya maeneo ambayo hata Mimi na dream nayo siku nikipata pesa nikawekeze kwenye kilimo Cha parachichi AiseeMkuu unamharibia mtu biashara. Be humbled