Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Zitto ni laana kwa hii nchi.

Lakini mkuu, ni kwa namna gani Katiba Mpya itakuwa mwarobaini wa haya maovu katika jamii zetu?

Wakenya wana Katiba bora kabisa karibu kuliko nchi zote Afrika, yet ndio taifa linaloongoza kwa rushwa na ukabila.

Hebu tueleze, ni vipi Katiba Mpya itakuwa mwarobaini bila kuwa na watu imara kama Magufuli?
 
Ilitoka Samia akiwa madarakani; yet she (and her fellow high profile politicians) never attacked her predecessor as she's been doing lately.
 
Ukweli upi ulifichwa, na nani?
 
Udhaifu wa Katiba ya Kenya ukitumiwa vizuri utageuka somo kwetu kuwa na Katiba Mpya bora zaidi itakayoziba mashimo yote yanayoonekana kwenye Katiba ya sasa ya Kenya.

Wakenya kuwa na Katiba mbovu hakuna maana nasi tutakuwa na Katiba kama yao, unless tuamue kwa ujinga wetu makusudi kuyachukua makosa yao kama yalivyo.
 
Hivi ushoga( urafiki) wa jiwe na Bashite na Sabaya ulitokana na nini? Halafu unashangaa sasa hivi why do people speak loudly and openly😀😀! Hata mke wa Azory na Ben Saanane wanakushangaa! Ng'wanoko ebe
Jiwe, Bashite na Sabaya walikuwa na ushoga?
 
Nmemiss kuona miili ya watu ikiwa kwenye viloba ikielea baharini

 
Report ya CAG imeonesha wizi gani? Hebu tuwekee hapa kwa ufupi.
 
Ni mjinga pekee anayeweza kusema mama hajafanya kazi
 
Makonda alizuiliwa kuingia Marekani kwa kuvunja haki za kibinadamu za mashoga.

Ni wapi Mike Pompeo alisema Bashite ni muuaji? Unless na wewe ni shoga, hebu tuwekee hapa hicho chanzo.

Lakini pia utueleze academic qualifications za Ukuu wa Mkoa au nafasi nyingine ya kisiasa ili tuone kama kweli Magufuli alipaswa kumtumbua.
 
Eti anataka tujenge jamii isiyokuwa na utii!! 😁
 
Wakenya wana katiba mbovu?
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa akili zako na Bashite na jiwe kupinga vitendo vya ushoga it amounts to kunyima rights to life? Hahahaha. Turudi kwenye vyeti, Bashite alitumia cheti chake cha form four kusomea uvuvi pale nyegezi Mwanza?Je Bashite alikuwa mtumishi wa umma? Je lile zoezi lililenga walimu,madaktari na manesi tu? Hahaa... Nenda Chato kafukue kaburi uvute uvundo akili ikae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…