Kiazi Kitamu
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 122
- 126
Shangingi (VX-V8) moja jipya kwa gharama ya sasa ni Tsh milioni 250 (bila kodi) hapa bado gharama za uendeshaji na matengenezo.
Wakati gharama ya ujenzi wa kituo cha afya complete ni kati ya Tshs milioni 400 - 700. Au gharama ya mashine moja MRI mpya kwa bei ya mwaka 2019 ni milioni 600.
Ila cha kusikitisha tumekosa vipaumbele magari haya yanaendelea kununuliwa na kutumika na viongozi wa Serikali na taasisi zake, ambao ni Baraza la Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, MaRAS, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri zote, Majaji, MaRPC, Wakuu wa Mashirika ya Umma nk.
Piiga hesabu ni gharama kiasi gani kama Taifa linaingia?
Na tunaendelea kujinasibu tunabana matumizi wakati kuna uwezekano mkubwa sana wa kupunguza matumizi kwa kutumia usafiri mbadala wa gharama nafuu?