Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Tazama hiyo ID yake kwanza
In God we Trust
Kwa uwezo wako wa kufikiri unaona ni sawa
In God we Trust
Kwa uwezo wako wa kufikiri unaona ni sawa
Ni Sawa kabisa na nyie mlivyo mafala badala ya kutaka maisha Bora mnataka wenzenu na wao waishi maisha mabovu kama nyie ujinga mtupu
Nani kakuambia tunataka waishi maisha mabovu hizo gharama za mashangingi ni kubwa wakati Huduma za msingi kama afya,elimu nk hazijatengamaa embu fikiria gari moja ni milioni 300 je ni sawa na madawati mangapi? Tuna wajibu wakutafuta magri yenye unafika na kubana matumizi. Walipa gharama ni sisi walipa kodiNi Sawa kabisa na nyie mlivyo mafala badala ya kutaka maisha Bora mnataka wenzenu na wao waishi maisha mabovu kama nyie ujinga mtupu
Acha watumie hii nchi ni masikini fikra siyo wa Mali tujipange bila kuwaza ujinga wa kusema maneno ya kwenye makaratasi bila uhalisiaNani kakuambia tunataka waishi maisha mabovu hizo gharama za mashangingi ni kubwa wakati Huduma za msingi kama afya,elimu nk hazijatengamaa embu fikiria gari moja ni milioni 300 je ni sawa na madawati mangapi? Tuna wajibu wakutafuta magri yenye unafika na kubana matumizi. Walipa gharama ni sisi walipa kodi
Kwani watakufa ??[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba watumie Aiesitii ?
😂😂😂😂 we babu upo nimefurahi tu kuona comment zakoKwani wakuu wa wilaya na mikoa wakutumia vitz wanakufaga?
Bora ungekaa kimya sio kwa ujinga huo ulioandikaUkitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande.
Zero brain wakati ndo inakuongoza. Hapo ni nani zero?? Jiongeze kidogo tu utajuaAkil za nyani weusi ndio hizoo, zero brain