Kiazi Kitamu
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 122
- 126
Sasa hv viongozi wengi wanatumia VXR mzee V8 zimisha pitwa na wakati!.
Kwamba viongozi waanze kununua punda na farasi?
Au ulitaka watumie mgongo wachura ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongoni mwa masharti ya kuwa mwanachama wa Bank ya Dunia ni pamoja na kununua mashangingi kumbuka kuwa Bank ya Dunia ni Taasisi ya Mabeberu kutafuta soko LA bidhaa zao
Elimu,elimu na ubinafsi ni kitu kibaya AfricaKwamba viongozi waanze kununua punda na farasi?
Au ulitaka watumie mgongo wachura?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hv viongozi wengi wanatumia VXR mzee V8 zimisha pitwa na wakati!.
Ungemwambia tu moja kwa moja "aache roho ya kimaskini!!"Kwa nini usimwambie apambane naye anunue?
Acha uongo fala weweMiongoni mwa masharti ya kuwa mwanachama wa Bank ya Dunia ni pamoja na kununua mashangingi kumbuka kuwa Bank ya Dunia ni Taasisi ya Mabeberu kutafuta soko LA bidhaa zao
Acheni roho za kimasikini na kishetanikipindi hicho shule zinajengwa kwa nguvu ya wananchi kuchangishana huku serikali yao jukumu kuu likiwa kukusanya kodi na kununua Magari ya kifahari. Shule hawataki kujenga, zahanati hawataki kujenga, hospital dawa hakuna, miundo mbinu inajengwa kwa ruzuku za mataifa wahisani! pesa za kodi wanapeleka wapi?
Acha wivu wakitembea Kwa miguu mtasema,wakipanda punda wivu au mnataka watembelee ndogaWakati wewe unashindwa hata kununua baiskeli kazi yako kukenua meno na kuwashangilia hao wachache waendelee kutunyonya!
Ama kweli ujinga ni mzigo
In God we Trust
Kwa uwezo wako wa kufikiri unaona ni sawaAcha wivu wakitembea Kwa miguu mtasema,wakipanda punda wivu au mnataka watembelee ndoga
Ni Sawa kabisa na nyie mlivyo mafala badala ya kutaka maisha Bora mnataka wenzenu na wao waishi maisha mabovu kama nyie ujinga mtupuKwa uwezo wako wa kufikiri unaona ni sawa
Acha wivu wakitembea Kwa miguu mtasema,wakipanda punda wivu au mnataka watembelee ndoga