'Mashangingi' ya Viongozi wa Taifa: Hili ni jini la kunyonya pesa za Wananchi

Kwani wamesomea masomea masomo gani hawa ili nasi tujikongoje kuzisomea?
Ukitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande.
 
Mleta mada hizi mada watu hawazitaki we waletee malalamiko ya ccm hawataki tume huru na Magufuli anakandamiza demokrasia na kuuwa wapinzani,hayo ndiyo wanataka kuyasikia kila siku ila haya hamtoelewana.
 
Shida sio hiyo gharama tu ya kununua magari aina hiyo. Kuna gharama kubwa za uendeshaji hasa kwenye mafuta. Nyingi engine zake zina ujazo lita zaidi ya 4,200. Kwa namna yoyote ile sio rafiki sana kwa hali yetu ya kipato ilivyo. mafuta yanatumika sana. Spares naamini pia ni ghali.
Kuna nafasi na kuna kazi nyingine, kwa ajiri ya umaalumu wake, kutumia magari ya aina hiyo ni kitu muafaka. Ila sio sahihi kila mtu akanunua magari makubwa bila kujari athari zake kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi. Kama mishahara ina grades, kwanini hata haya matumizi ya mali za umma yasiwekewe utaratibu huo huo?
 
matanzania hayajui uchumi,viongozi nchi za ulaya wanatumia usafiri wa umma mpaka baiskeli kwenda maofisini,poor africa
1:They are good in nothing
2:wanapenda starehe sana halafu wanataka maendeleo
black people ni hovyo sana,nunue shangingi kwa hela yako,sio unachota hela za walipa kodi unatanguliza manani yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangenunuliwa Landcruiser 70 series (mkonge) kwa Mil 100. Kazi kufuja pesa za wavuja jasho tu!
 
Hata wewe Mwenyewe Bajeti yako ya Bia kwa siku ni 20×3000×12×30=21,600,000/= kwa Mwaka hapo bado hujala na kumpongeza bby wako kwa kazi nzuri.
Kunywa ukute una miaka 29 ina maana umetumia mininum 29×21,600,000= 626,400,000/= hapo umetumia V8 ngapi? Inamaana 2 na chanji zinabaki.
Kwa uwezo wa akili nyingi kwanini usingetekeleza hata 1/2 tu ya gharama ya bia unazopiga ukasaidia kununua Madawati.
Mengine kujadili ni upuuzi tu. Sasa bila usafiri atafanyeje kazi.
 

We ndo huujui uchumi kabisaaa. Unalinganisha ulaya na tz?? Kweli?? Huo usafiri wa umma huko unadhani ni daladala za huku?? Huo muda tu utakaoumalizia njiani kwenda ofisini utakuwa nani? Utatokea Masaki na baiskeli ufike Posta ukifika utafanya kazi gani??
Naomba toa mfano mwingine sio huu. Kumbuka majumba yote Obay yeshauzwa
 
Haya magari yalinunuliwa na Mkapa miaka ya tisini, leo 2020 Kuna mtu yanamuuma, Wana akili Kama ya alikiba wanakumbuka penseli waliyoibiwa primary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…