Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Hivo v8 ziko kama 300 hivi tunabana matumizi. Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzakeTukiendele kujipambanua kuwa tunabana matumizi tujue kama nchi hatuna vipaumbele kama mpaka sasa Viongozi wetu wanafanya matumizi ya anasa.
Fikiria gari moja la Mkuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Wakuu, Mawaziri, Wakurugenzi wa Halmashauri na Taasisi za UMMA wanaendela kutumia magari aina ya V8 GXR yenye gharama ya Sh. Milioni 300.
Hii pesa ina uwezo wa kutengeneza madawati 3,500, Inaweza chimba visima vya maji 6-8 with solar, Kujenga zahanati 3 mpaka 4. Inaweza kujenga vyumba vya madarasa zaidi 10-11.
Tuige nchi kama Malaysia, Rwanda etc katika kubana matumizi na kutumia magari ya kawaida yenye unafuu.
Auze wapande daladala kubana matumizi kwani si wanalipwa mishahara?Lakini mkuu hizo gari si zimeshanunuliwa toka enzi za jakaya?? Tufanyeje sasa tuziuze au?
Au unataka magufuli aingie madarakan anunue Vitz wakati mkuu wake wa mkoa ana VxV8??
Acha maneno ya Kiswahili nyorosha maneno arifuTatizo lako ni kuwa bado una kamba mguuni
In God we Trust
Itakuwa v8 la KUB ila anazunguka mbuyu anaogopa wafuasi KUB kumshambulia.Ni Mkuu wa wilaya gani anatumia V8 GXR?...Labda ungetutajia kwanza...
Ukitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande.
Nadhani wewe Ni Jerry Muro na sidhani Kama nimekosea maana huu Ni mwandiko wake halisi kabisa bila kupepesa machoKwa kuwa hutegemei kuteuliwa ndo maana umeliona hili. Kweli tuna matatizo mengi. Hivi tupo +55m watu ndo utokee weye tu ulione hilo?? Weka maoni yako kwenye visanduku vya maoni.
Mkuu wa wilaya sio mtu wa chini ka hivyo, ni mkuu wa ailaya, ni nambari 1 wa wilaya nzima. Mwenye kustahili hishima mpe hishima yake. Huyo mtoto naye siku moja atajakuwa mkuu wa wilaya naye atapewa limshangingi lake.
sema kuwa tubuni mbinu mpya ya kupata hayo madarasa na mahospitali unayo yatamani ila sio kuwaminya wengine wenye nafasi yao.
Watu wanataka mada za ccm na chadema waitane manyumbu humo ndio tumezoea,ila mada kama hizi hazitakiwi.Haya mambo watu hawataki kuyasikia. Comments zinajieleza
wapi katajwa magufuli? jitahidi kusoma post yote kabla hujachangiaLakini mkuu hizo gari si zimeshanunuliwa toka enzi za jakaya?? Tufanyeje sasa tuziuze au?
Au unataka magufuli aingie madarakan anunue Vitz wakati mkuu wake wa mkoa ana VxV8??
Kiazi Kitamu, Hakuna mkuu wa wilaya anatumia V8 mkuu. Kafanye research urudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nadhani wewe ni nabii wa uongo kwani huyo Jerry Muro sina uhusiano hata wa karibu naye.Nadhani wewe Ni Jerry Muro na sidhani Kama nimekosea maana huu Ni mwandiko wake halisi kabisa bila kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema yalinunuliwa tangu enzi za JK ni upumbavu kiwango cha Flyover......hayo magari yananunuliwa mapya kila sikuLakini mkuu hizo gari si zimeshanunuliwa toka enzi za jakaya?? Tufanyeje sasa tuziuze au?
Au unataka magufuli aingie madarakan anunue Vitz wakati mkuu wake wa mkoa ana VxV8??
Watachelewa kufika kwenye maeneo ya wilaya kwa harakaKwani wakuu wa wilaya na mikoa wakutumia Vitz wanakufaga?
Hakika mkuu, Shida tuliyonayo kwa Viongozi wetu wa kiafrica ni ubinafsi