M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Feb 27, 2020 #81 njinjo said: Ukitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande. Click to expand... we nae ni mjinga sana, VX V8 ya nini kwa DC? Kwanini asitumie Prado ya milioni 100 tu hizi 200 zifanye kitu kingine??
njinjo said: Ukitengeneza hayo madawati, itakuwa ni hitimisho la uhitaji wa madawati? Acha roho ya kwanini kijana acha wapate magari mazuri ili kila kijana ajitahidi kusoma ili naye akifanikiwa ayapande. Click to expand... we nae ni mjinga sana, VX V8 ya nini kwa DC? Kwanini asitumie Prado ya milioni 100 tu hizi 200 zifanye kitu kingine??
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 5,184 Reaction score 6,881 Feb 27, 2020 #82 Magezi said: we nae ni mjinga sana, VX V8 ya nini kwa DC? Kwanini asitumie Prado ya milioni 100 tu hizi 200 zifanye kitu kingine?? Click to expand... Kwanini asitumie VX V8? Acha kuingilia vilivyo juu yako
Magezi said: we nae ni mjinga sana, VX V8 ya nini kwa DC? Kwanini asitumie Prado ya milioni 100 tu hizi 200 zifanye kitu kingine?? Click to expand... Kwanini asitumie VX V8? Acha kuingilia vilivyo juu yako
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,975 Reaction score 3,133 Feb 27, 2020 #83 Helicopter