Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kila kitu kwa wakati wake.Tuonesheni na hizo ndege zilivyojamba kwenye anga la Irani. Maana juzi nasrallah mlionesha hadi dakika zake za mwisho 😁! Tuonesheni na ndege au ndo mnaedit mzigo kwanza kwenye fotoshop.🤣
Hakuna walichofanya, Cha kuchekesha Israel katuma ujumbe UAE wawaambie Iran wasijibu,huko Israel kwenyewe wanalimbana shambulio la kioga,lair lapid kamaind sanaIsrael imeshambulia Millitary Bases, Israel haina ugomvi na Raia wa Iran.
Ndege 140 zemeenda zimepiga na zimerudi Israel hicho ndio muhimu zingine porojo tu.Hakuna walichofanya, Cha kuchekesha Israel katuma ujumbe UAE wawaambie Iran wasijibu,huko Israel kwenyewe wanalimbana shambulio la kioga,lair lapid kamaind sana
Ndege 140,target 3, makombora yametunguliwa,ndege hazikuingia Iran,kila mtu duniani anaitaka Iran isilipize, ayatollah katulia tu akivuta uradiNdege 140 zemeenda zimepiga na zimerudi Israel hicho ndio muhimu zingine porojo tu.
Mkuu ujue Ayatollah akishasema huwa hatanii.🤣Wafuasi wa buludoza ni lazma mlie tu maana Air defense ya muajemi kumbe ndio iko stable by 100%... Imekuwa suprise sana maana walitegemea wangeshusha vimondo vya kutosha.
Sasa awamu inayofata mfuga ndevu ameahidi kuwashushia wazayuni boloconi 1000 ili waseme nazo.
Dhaifu na vitu vimeliwa namna hio, hebu ficha ujinga wako mzee🤣Hili shambulio la Israel japo halijaleta madhara makubwa ila ni taa nyekundu kwa mamullah wa Iran, ulinzi wao wa anga dhaifu sana.
Au ndio Sababu vinu vya nyuklia vimejengwa chini ya ardhi na chini ya milima ?
Iko wapi Source yako? Mimi source yangu ni TIMES RADIO.Ndege 140,target 3, makombora yametunguliwa,ndege hazikuingia Iran,kila mtu duniani anaitaka Iran isilipize, ayatollah katulia tu akivuta uradi
Tatizo kobasi..nikama kenge hasikii kipigo mpaka maskio yatoe damShow kamili ipi kwa namna vyuma vilivyokuwa intercepted hapo Israel ndio atakayefyata mkia😁
Mini rastafarian..Sawa mvaa rozari.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hizo ndege za USA, zingine f16 toka ujerumani aliagiza juzi zikatia timu Saudia,na ndege hazikuingia Iran, zimetumia anga la Syria na Iraq,wamefanya awamu tatu za mashambulizi mpaka alfajiri watu wanamalizia swala,ilipaswa iwe kishindo kikubwa lakini wapi, Iran wenyewe walikua wanashangalia namna air defense yao ilivyofanya vizuri, Israel akili kumkichwa kwa Iran kwa Sasa,anajua Iran ni niniIko wapi Source yako? Mimi source yangu ni TIMES RADIO.
Huo uwezo wa kutuma Ndege 140 umeonyesha kuwa Ayatolah Air Defenses ni za Hovyo.
Ayatolah hawezi kutuma hata Ndege moja kwenye Anga la Israel ndege zake ni Phantom 5 alizonunua Shah wa Iran kutoka USA ni technology ya 1960s.
Israel sio kwamba hana Ballistic Missiles anazo sema ameamua kumuaibisha Ayatolah.
Lockheed Martens na hizo Kampuni nyingine ni za Waisraeli au hujui.Hizo ndege za USA
Lockheed kampuni ya marekani,hata wachungaji wa kitanzania huweka bendera ya Israel kwenye magari na kanisaniLockheed Martens na hizo Kampuni nyingine ni za Waisraeli au hujui.
Angalia Logo acheni kujidanganya na Albadiri.
View attachment 3135994
Pole sana.endeleeni kusoma Albadiri hamuwawezi Wayahudi.Lockheed kampuni ya marekani,hata wachungaji wa kitanzania huweka bendera ya Israel kwenye magari na kanisani
"Allan Lockheed - Wikipedia" Allan Lockheed - WikipediaPole sana.endeleeni kusoma Albadiri hamuwawezi Wayahudi.
Pole sana."Allan Lockheed - Wikipedia" Allan Lockheed - Wikipedia
Born in America died in America, American from head to toe