Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Huyo jamaa source yake ya uhakika ni T14 AmartaKama ni maoni ni sawa, una haki ya kutoa maoni Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa source yake ya uhakika ni T14 AmartaKama ni maoni ni sawa, una haki ya kutoa maoni Mkuu.
Anashangaza sana eti Israel i"ngekua na Nia ya kuleta madhara makubwa" ingeleta madhara makubwa kwa iran,Israel imeshambulia kwa ndege vita ngapi? Na kila ndege vita ina uwezo wa kurusha makombora mangapi?
Kujifunza kuukubali ukweli hata kama unauma ni jambo la kishujaa kweli kweli, si kila mtu anaweza.Anashangaza sana eti Israel i"ngekua na Nia ya kuleta madhara makubwa" ingeleta madhara makubwa kwa iran,
Kwa hiyo hapo Israel ilienda kutengeneza na kurekodi movie?
Huyo T14 Amarta sijawahi kumchukulia serious, kwa sababu sioni anachokiandika.Huyo jamaa source yake ya uhakika ni T14 Amarta
Mie nilidhani umeleta habari kutoka credible source kumbe ni ufala kutoka chanzo kinachounga mkono Israel!??4 sets za machumachuma ya Urusi, Chapa S-300 zalipuliwa huko Iran kwa mashambulizi ya Israeli 🤔
....
![]()
After Israeli Strikes, Iran Insists on ‘Duty to Defend’ Itself Without Threatening Retaliation | United with Israel
Israel struck within Iran in retaliation for 180 missiles the Islamic Republic launched into Israel in early October.unitedwithisrael.org