Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Israel imeshambulia kwa ndege vita ngapi? Na kila ndege vita ina uwezo wa kurusha makombora mangapi?
Anashangaza sana eti Israel i"ngekua na Nia ya kuleta madhara makubwa" ingeleta madhara makubwa kwa iran,
Kwa hiyo hapo Israel ilienda kutengeneza na kurekodi movie?
 
Anashangaza sana eti Israel i"ngekua na Nia ya kuleta madhara makubwa" ingeleta madhara makubwa kwa iran,
Kwa hiyo hapo Israel ilienda kutengeneza na kurekodi movie?
Kujifunza kuukubali ukweli hata kama unauma ni jambo la kishujaa kweli kweli, si kila mtu anaweza.

Huu ugonjwa ndiyo unaowasumbua.
 
Nilichoshangaa ndege zote kurudi sasa walikuwa wanashanga ndege hizo
 
Alhamis au ijumaa tutajibu mashambulizi makali mno msemaji wa jeshi la Iran toka magomeni mapipa
 
4 sets za machumachuma ya Urusi, Chapa S-300 zalipuliwa huko Iran kwa mashambulizi ya Israeli 🤔
....
Mie nilidhani umeleta habari kutoka credible source kumbe ni ufala kutoka chanzo kinachounga mkono Israel!??
Embu tuletee habari kutoka credible source tutolee habari za kipropaganda hizo.
 
Back
Top Bottom