Mateka tulijua mumewaua wote baada ya Israel kuisambaratisha Gaza na kuifanya irudi nyuma miaka kumi na kuua mazombi yenu 15,000 na pia dah kuua watoto, nilidhani hasira ya yule 'mungu' wenu muarabu akbar akbar imewafanya mchinje hao mateka, nashangaa eti bado wako hai...khaa
Rabbi uchwara tambua haya:
1. Kuongelea haki hakuna u nasaba na mhanga.
2. HAMAS Hana vita na watoto, wanawake au wasiohusika.
3. Israel ni taifa pekee duniani lenye kuwakamata, kuwatesa na kuwafikisha watoto 12 - 17 kwenye court marshalls.
4. Pamoja na yote HAMAS hawakuwaua mateka.
5. Kwenye masharti ya HAMAS Israel ana lazimishwa kuwaachia wanawake na watoto anaowashikilia magerezani.
6. Kuwashikilia watoto magerezani ni uhalifu dhidi ya binadamu.
7. Nk
Yote hapo juu yanadhihirisha shwetwani ni nani.