permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Israel hakuua mateka ndio maana anao wengi na ndio baadhi yake wanabadilishana na Hamas. Unasema Hamas hana shida na wanawake na watoto, ila umejiuliza Hamas katoa wapi wanawake na watoto anabadilishana na Israel ?Rabbi uchwara tambua haya:
1. Kuongelea haki hakuna u nasaba na mhanga.
2. HAMAS Hana vita na watoto, wanawake au wasiohusika.
3. Israel ni taifa pekee duniani lenye kuwakamata, kuwatesa na kuwafikisha watoto 12 - 17 kwenye court marshalls.
4. Pamoja na yote HAMAS hawakuwaua mateka.
5. Kwenye masharti ya HAMAS Israel ana lazimishwa kuwaachia wanawake na watoto anaowashikilia magerezani.
6. Kuwashikilia watoto magerezani ni uhalifu dhidi ya binadamu.
7. Nk
Yote hapo juu yanadhihirisha shwetwani ni nani.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app