Masharti ya Hamas kuanza kutekelezwa mwanzo.Malori 200 ya misaada kila siku kwa siku nne kuingia Gaza

Israel hakuua mateka ndio maana anao wengi na ndio baadhi yake wanabadilishana na Hamas. Unasema Hamas hana shida na wanawake na watoto, ila umejiuliza Hamas katoa wapi wanawake na watoto anabadilishana na Israel ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

1. Kumbe Israel anao mateka? Wa nini na kutokea wapi?

2. HAMAS hana shida na wanawake ndiyo maana kumwonyesha Israel hilo kawachukua wake na sasa anamwonyesha kulikoni kushikilia hao? Tuwaachie wote!

3. Unadhani bIla HAMAS kuwashikilia hawa Israel ingekubali mazungumzo ya kumwachia yeyote mikononi mwake?

4. Angetaka kuwauwa kama anavyouwa Israel na kuwanyima watu chakula wangeachiwa hawa hai na afya zao?

5. Aluta continua!

 
Wewe kweli punguani wameuwa watoto 6000 kwa mabomu watoto 12000 wamefunikiwa na vifusi hapo ndiyo wanaubinadamu daaah,
Punguani ni wewe na uzao wako kwa kuwa na akili fupi na uwezo mdogo wa kutafakari. Wewe na punguani wenzako mshauriane muache kutumia watoto kama defense waambie punguani wenzio watoke mbele wapambane na IDF pinguani wahed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…