Tango73 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2008 Posts 2,180 Reaction score 1,291 Jan 15, 2023 #81 Nyumisi said: Mikopo ni initiative ya beberu mwenyewe kuzikamata masikio nchi maskini, kwa hiyo hakuna jipya hapo.... Click to expand... tafadhali sana mkuu acha kabisaa kutumia neno bebebru. hili neno limekwisha na wakati. tumia neno wafadhjili au mataifa tajili.
Nyumisi said: Mikopo ni initiative ya beberu mwenyewe kuzikamata masikio nchi maskini, kwa hiyo hakuna jipya hapo.... Click to expand... tafadhali sana mkuu acha kabisaa kutumia neno bebebru. hili neno limekwisha na wakati. tumia neno wafadhjili au mataifa tajili.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jan 15, 2023 #82 Amen
melusine8 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 6,299 Reaction score 7,746 Jan 15, 2023 #83 Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24]
Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24]
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Jan 15, 2023 #84 melusine8 said: Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24] Click to expand... Sasa wazungu watafaidikaje kwa Makamu wa rais kutoka chama cha upinzani?
melusine8 said: Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24] Click to expand... Sasa wazungu watafaidikaje kwa Makamu wa rais kutoka chama cha upinzani?