Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
tafadhali sana mkuu acha kabisaa kutumia neno bebebru. hili neno limekwisha na wakati. tumia neno wafadhjili au mataifa tajili.Mikopo ni initiative ya beberu mwenyewe kuzikamata masikio nchi maskini, kwa hiyo hakuna jipya hapo....