Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

Mikopo ni initiative ya beberu mwenyewe kuzikamata masikio nchi maskini, kwa hiyo hakuna jipya hapo....
tafadhali sana mkuu acha kabisaa kutumia neno bebebru. hili neno limekwisha na wakati. tumia neno wafadhjili au mataifa tajili.
 
Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24]
 
Naomba sana hii iwe kweli walahi maana tumechoka jamani, eee Mwenye Enzi Mungu sikia kilio chetu uwiiii[emoji24]
Sasa wazungu watafaidikaje kwa Makamu wa rais kutoka chama cha upinzani?
 
Back
Top Bottom