Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.

Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.

Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".

Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.

Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
LOoooh! Salaleh!

Mkuu 'Kisamv., vipi tena, mbona ni kama unajisema mwenyewe kuhusu hayo uyasemayo kuhusu "Shule zetu sasa ---"?

Ni mkopo gani unaouzungumzia mkuu?

Kama masharti ya mkopo yapo kama unavyoyaeleza, huo ni mkopo kweli, au tunapewa tu msaada, ambao hatutatakiwa kuulipa?
 
kukopesha nayo Ni biashara Haramu mjue TAKBIIIR
 
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.

Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.

Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".

Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.

Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Kwa hiyo inabidi Katiba ya nchi ibadilishwe? Hata Mchina au Mrusi anashinikiza mabadiliko haya? Manake nasikia China ni rafiki yetu.
 
sasa itakuwaje ?
Labda ndiyo sababu inayomrudisha nyumbani Tundu Lissu, huwezi juwa haya mambo ya siku hizi za "maridhiano"!

Lakini sina hakika na utayari wa Lissu kufanywa kituko kiasi hicho!
 
Hizo stori za vijiwe vya kahawa!

Hata ikiwa kweli chama Cha majambazi hatufeli tutatumia makamu wa Rais wa mchongo mkongoman ZZK!
 
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.

Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.

Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".

Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.

Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Sipendi mpaka kuna vitu tupangiwe na wazungu lakini ni afadhali tu iwe hivyo sasa
 
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.

Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.

Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".

Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.

Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Kazi ndogo hiyo, anapandwa Mamluki.
Imeisha hiyo.
 
Wanachama wa chadema muda huu vipele vya msisimko vimewatoka
 
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.

Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.

Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".

Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.

Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Webmaster hawa wakileta uongo wa hivi inabidi wafungiwe kwa muda wapate adabu
 
Mabeberu hawawezi kutupangia huo ujinga. CCM itaendelea kubaki madarakani, sisi tutaendelea kukopa na waziri mkuu hatotoka upinzani. Kama upinzani hawawezi kubatle na chama tawala kwenye uchaguzi means hawana nguvu ya kuongoza nchi.

Sisi wananchi tumeichagua CCM kwasababu wapinzani bado hawana nguvu ya kuongoza nchi, unaweza ukawapima kwa maamuzi yao ndani ya chama chao, sera zao na mambo mengine mengi tu. Jamaa bado, wanabidi kujipanga hawana nguvu na pia hawafati hata utaratibu ndani ya chama chao. Kama wanashindwa kuing`oa CCM, watatoa wapi mikakati ya kuingoza nchi ili uchumi uwe stable? Nchi imekumbana na madhoruba kibao, lakini bado kiuchumi tuko freshi chini ya Rais Samia, sio kazi rahisi.
 
Mkuu,

Anayewapima hivi wapinzani ni ccm ama ni wananchi?

Kama ni ccm sawa, lakini wananchi walishawakataa nynyi ccm kwa sanduku la kura,

Huwa mnagalagazwa saana, hizo nguvu mnazotumia kupitia dola ndizo zinazowafanya kusema haya leo,

Lakini nyinyi mnaongoza nchi badala yaa!!
 
Back
Top Bottom