Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
EU kitu ingine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeeeeEU kitu ingine...
LOoooh! Salaleh!Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Kwa hiyo inabidi Katiba ya nchi ibadilishwe? Hata Mchina au Mrusi anashinikiza mabadiliko haya? Manake nasikia China ni rafiki yetu.Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Labda ndiyo sababu inayomrudisha nyumbani Tundu Lissu, huwezi juwa haya mambo ya siku hizi za "maridhiano"!sasa itakuwaje ?
Nakupa PhDElimu au Afya sio kipaumbele kwa watanzania wengi. Wengi wetu kipaumbele ni ngono.
Sipendi mpaka kuna vitu tupangiwe na wazungu lakini ni afadhali tu iwe hivyo sasaAsanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndo usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndo basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio ccm.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Kazi ndogo hiyo, anapandwa Mamluki.Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Webmaster hawa wakileta uongo wa hivi inabidi wafungiwe kwa muda wapate adabuAsanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Mkuu,Mabeberu hawawezi kutupangia huo ujinga. CCM itaendelea kubaki madarakani, sisi tutaendelea kukopa na waziri mkuu hatotoka upinzani. Kama upinzani hawawezi kubatle na chama tawala kwenye uchaguzi means hawana nguvu ya kuongoza nchi.
Sisi wananchi tumeichagua CCM kwasababu wapinzani bado hawana nguvu ya kuongoza nchi, unaweza ukawapima kwa maamuzi yao ndani ya chama chao, sera zao na mambo mengine mengi tu. Jamaa bado, wanabidi kujipanga hawana nguvu na pia hawafati hata utaratibu ndani ya chama chao. Kama wanashindwa kuing`oa CCM, watatoa wapi mikakati ya kuingoza nchi ili uchumi uwe stable? Nchi imekumbana na madhoruba kibao, lakini bado kiuchumi tuko freshi chini ya Rais Samia, sio kazi rahisi.
Daraja la Busisi linazidi kuimarikaNi habari njema Sana hii kama itakuwa ya kweli
Wanakupa kwanza hela ili ukishiba ndio waanze kukuchezesha kwata.Ina maana sasa hivi hauwachukii mabeberu?
Kukubali kuchezeshwa kwata utakuwa ni ujinga wa Mkuu wa Nchi.