Next, mtaambiwa waziri mkuu shurti awe shoga.Inamaana hayo masharti yanataka tuvunje katiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next, mtaambiwa waziri mkuu shurti awe shoga.Inamaana hayo masharti yanataka tuvunje katiba
Ma- CCM yatamteua Dovutwa au Momose Cheyo akisema wametoka UpinzaniNi habari njema Sana hii kama itakuwa ya kweli
Kisamv,Mkuu,
Anayewapima hivi wapinzani ni ccm ama ni wananchi?
Kama ni ccm sawa, lakini wananchi walishawakataa nynyi ccm kwa sanduku la kura,
Huwa mnagalagazwa saana, hizo nguvu mnazotumia kupitia dola ndizo zinazowafanya kusema haya leo,
Lakini nyinyi mnaongoza nchi badala yaa!!
Blessings in the disguise!Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Nafuu ya maisha inaonekana. Niliwahi kusafiri wakati wa mvua kwa roli na maiti ya mfanyakazi mwenzetu kutoka Dodoma Jumapili jioni tukafika Musoma Jumatano asubuhi wakati tulikuwa tunasafiri usiku na mchana. Sasa hivi Dodoma Musoma hata saa 10 hazifikiBlessings in the disguise!
Ila kama Katiba ni hii hii utabadilisha chama na watu mambo yatabaki vile vile...Uzuri ni kuwa tutaondoa baadhi ya watu wnaaodhani wao ni royal families
Muda ushapitaHiyo SUK haikubaliki bara,
Tunataka KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Aamen
Wewe kweli akili zako zimejaa mnyaaa ...nani kakuambia tanzania tunayo katiba? ....wacheni kujidanganyaInamaana hayo masharti yanataka tuvunje katiba
Hao mabeberu si wanatumia akili? Kwanini na sisi tusitumie akili ili siku za usoni watuheshimu?Hii itakuwa shida kwa upande mmoja, na sio shida kwa upande mwingine.
Shida itakuwa ni kukubali kuingiliwa na mabeberu. Hilo ni jambo baya zaidi linalofanana na lile la Rais kukubali kuchanjwa ili apate mikopo ya mabeberu.
Haitakuwa shida kwa kuwa vyama vya upinzani vipo vingi, na CCM haitashindwa kutengeneza pandikizi la kuliteua.
Lakini ajenda kuu ya jambo kama hili itakuwa ni kwa mabeberu kuendelea kutudhalilisha. Na pia watafanya mpango wa kumuua Rais wa CCM siku moja ili mpinzani achukuwe nchi.
Wameshatusoma kuwa tunaheshimu katiba ndo maana sasa hivi tunaongozwa na mwanamke. Katika hali ya kawaida mwanamke asingeweza kuwa Rais wa Tanzania hata ipite miak 100.
Sasa wanataka kutuingilia zaidi na kutuvuruga kabisa.
Demokrasia wanayopigia kelele wazungu haina maana sana kwetu sisi, zaidi ya kwao wao. Kwao itawasaidia sana kutuvuruga wakati wowote wakitaka kwa kumpa hela mtu wanayemtaka awe kiongozi wetu.
Tanzania haijawahi kuongozwa kwa amri kutoka Bretton woods institutions, 10 downing street, Washington au Brussels. Ni msingi ulijengwa na Mwalimu Nyerere na Mzee Karume. Tanzania inaheshimu mataifa yote duniani lakini msingi wa Uhuru wetu hatuingiliwi katika siasa zetu za ndani. #Tujadili mambo yetu kama Watanzania tusilete vitisho vya kuingiza wazungu.🙏🙏🙏Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Kwa nguvu zipi ulizonazo za kuwapinga mabeberu mkuu!Tanzania haijawahi kuongozwa kwa amri kutoka Bretton woods institutions, 10 downing street, Washington au Brussels. Ni msingi ulijengwa na Mwalimu Nyerere na Mzee Karume. Tanzania inaheshimu mataifa yote duniani lakini msingi wa Uhuru wetu hatuingiliwi katika siasa zetu za ndani. #Tujadili mambo yetu kama Watanzania tusilete vitisho vya kuingiza wazungu.🙏🙏🙏
We kisamvu ha kopo kweli yaani maisha yako yote unategemea serikali ndiyo ikuletee nafuu ya maisha waache kupeleka nafuu ya maisha kwaoAsanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!
Tatizo kuna mashimo yameshatobolewa ambamo panya wanaingia na kutokaTanzania haijawahi kuongozwa kwa amri kutoka Bretton woods institutions, 10 downing street, Washington au Brussels. Ni msingi ulijengwa na Mwalimu Nyerere na Mzee Karume. Tanzania inaheshimu mataifa yote duniani lakini msingi wa Uhuru wetu hatuingiliwi katika siasa zetu za ndani. #Tujadili mambo yetu kama Watanzania tusilete vitisho vya kuingiza wazungu.🙏🙏🙏
Hatuwezi kuwapinga na wao hawawezi kutulazimisha au kutuamrisha. Diplomasia ni kuheshimiana. 🙏🙏🙏Kwa nguvu zipi ulizonazo za kuwapinga mabeberu mkuu!
inategemea huyo mpinzani kuwa makamu wa raisi personal integrity yake ipo gado kiasi niga. kama alikuwa hana makochi kwao usitegemee atakujua wewe bila kutafuta makochi kwanza! wewe pigania katiba ya israel imtingishayo mtawala kama netanyahu mahakamani itutawale utaona uhondo !hao watoa mikopo wasisitishe mikopo mpaka nchi zote za africa ziwe na katiba imshitakiwayo raisi. hapo watatuokoa waafrica! wapulika iwe!Ni habari njema Sana hii kama itakuwa ya kweli