Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya.
Wajuzi wanasema andiko hili linatuelekeza Wanadamu kumuachia Mungu habari za waliokufa, hii ni kwa sababu wako tuliowaheshimu sana na kuwaeleza Shida zetu, Wakiwemo Mashehe na Maaskofu ambao wakifa Watachomwa moto kwa dhambi na udhalimu wao, hata kama walivaa majoho, Hivyo basi Mungu anatuasa tusijue walikopelekwa baada ya kifo, maana tukijua tutasononeka.
Najiuliza sana kuhusu hawa Maaskofu na Mashehe wanaomkaribisha Makonda Mazabauni huwa wanajisikiaje Mtu huyu Muuaji anapotajwa hadharani, Au Mungu wa watu hawa si huyu Mungu tunayemuabudu siye wengine?
PIA SOMA
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia