SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Makonda sehemu anayostahili kuwa kwa sasa ni gerezani akisubiria kunyongwa hadi afe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna makanisa yatakimbiwa na waumini kwa kusupport MuuajiWengine ni wao pia au pia huenda anatubu
Kumbe kujifanya anamtajataja Mungu kumbe anamaanisha anamuona uovu wake!Aisee mbaya sana hii kitu itamtesa hadi Kifo!Makonda sehemu anayostahili kuwa kwa sasa ni gerezani akisubiria kunyongwa hadi afe.
Taratibu dada mda ni mwalimu mzuriwanafiki na wazushi wakubwa ninyi.
hizo tuhuma za makonda mliwahi kizithibitisha?
Au ni smearing campaign mliyowahi kuanzisha kuficha uovu wenu?
Mmejifunza kuzusha mambo halafu kuyafanya viral na interational ili muendelee kupata fesha za wafidhili hisusani marekani.
HakikaTaratibu dada mda ni mwalimu mzuri
AmenViongozi wa dini wapo kwa ajili ya watu wenye dhambi siyo wasafi pekee.
Yesu alishasema yafuatayo :-
Marko 2:17
17 Yesu aliposikia haya aka waambia, “Wenye afya nzuri hawahitaji daktari, bali wagonjwa wanamhitaji. Sikuja kuwaalika wenye haki, bali wenye dhambi.”
Kwani mbona mmeo DJ hutajwa sana kuteka watu lakini bado anaendelea kwenda kanisani na kuombewa!!?Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya.
Wajuzi wanasema andiko hili linatuelekeza Wanadamu kumuachia Mungu habari za waliokufa, hii ni kwa sababu wako tuliowaheshimu sana na kuwaeleza Shida zetu, Wakiwemo Mashehe na Maaskofu ambao wakifa Watachomwa moto kwa dhambi na udhalimu wao, hata kama walivaa majoho, Hivyo basi Mungu anatuasa tusijue walikopelekwa baada ya kifo, maana tukijua tutasononeka.
Najiuliza sana kuhusu hawa Maaskofu na Mashehe wanaomkaribisha Makonda Mazabauni huwa wanajisikiaje Mtu huyu Muuaji anapotajwa hadharani, Au Mungu wa watu hawa si huyu Mungu tunayemuabudu siye wengine?
PIA SOMA
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Huna hojaKwani mbona mmeo DJ hutajwa sana kuteka watu lakini bado anaendelea kwenda kanisani na kuombewa!!?
hao mashehe na maaskofu njaa tupuuuuKwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya.
Wajuzi wanasema andiko hili linatuelekeza Wanadamu kumuachia Mungu habari za waliokufa, hii ni kwa sababu wako tuliowaheshimu sana na kuwaeleza Shida zetu, Wakiwemo Mashehe na Maaskofu ambao wakifa Watachomwa moto kwa dhambi na udhalimu wao, hata kama walivaa majoho, Hivyo basi Mungu anatuasa tusijue walikopelekwa baada ya kifo, maana tukijua tutasononeka.
Najiuliza sana kuhusu hawa Maaskofu na Mashehe wanaomkaribisha Makonda Mazabauni huwa wanajisikiaje Mtu huyu Muuaji anapotajwa hadharani, Au Mungu wa watu hawa si huyu Mungu tunayemuabudu siye wengine?
PIA SOMA
- Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia
Hoja hujibiwa kwa hojaViongozi wa dini makini hawafanyi mambo kwa mihemko,wanamiongozoyao ya jinsi ya kudili na wauminiwao.
Hakuna mkamilifu hapa duniani, tatizo la chadema ni wafuasi uchwara ambao wana hemkwa sana bila fact.
Kumbe!Huna hoja